bhna
Member
- Feb 2, 2023
- 33
- 65
Habali wana jf.Jina(x) mkazi wa unguja town age below 30,Nategemea kununua sport bike (500-600cc) kwa mizunguko ya mjini na mara 3 kwa wiki kusini unguja.Budget kuanzia 8m-10m,ni kampuni ipi itanifaa kwa ubora,spear pamaja namafundi kati ya hizi (honda CBR,suzuki & kawasaki)