Ok,nenda kwenye mada Sasa.Umewahi kuendesha bike kubwa?
Hizo sport bike kubwa kama hujawahi kuendesha si vyema ukaanza nazo Honda CBR1000,Suzuki Gxr 800/1000 na Kawasaki Ninja. Bike anayeanza anakuwa ni Begginer, ukiweza kuhandle wastani unakuwa Intermediate na wale wazoefu wanaochezea michezo mbalimbali wanakuwa kundi la Pro (Profesional).
Barabara za Zanzibar hazina msongamano ukijiachia sana kwenye bike kubwa kwenye kona kali lazima ikushinde au ikutoe nje ukikata kona ghafla Sport Bike lazima ikulaze nyingi za kisasa zina steering dumper ukiwa speed kona inabidi uguse kidogo si kama bike za kawaida
Achukue Honda CBR600 ambayo sio Racing edition, Honda Cb400 super four, KTM DukeOk,nenda kwenye mada Sasa.
Umewahi kuendesha bike kubwa?
Hizo sport bike kubwa kama hujawahi kuendesha si vyema ukaanza nazo Honda CBR1000,Suzuki Gxr 800/1000 na Kawasaki Ninja. Bike anayeanza anakuwa ni Begginer, ukiweza kuhandle wastani unakuwa Intermediate na wale wazoefu wanaochezea michezo mbalimbali wanakuwa kundi la Pro (Profesional).
Barabara za Zanzibar hazina msongamano ukijiachia sana kwenye bike kubwa kwenye kona kali lazima ikushinde au ikutoe nje ukikata kona ghafla Sport Bike lazima ikulaze nyingi za kisasa zina steering dumper ukiwa speed kona inabidi uguse kidogo si kama bike za kawaida
Mliopo Zanzibar ati huwa tunaamini ndio mna access na bike kalikali used kwa bei 'kitonga'.
Ila hili suala la bei Kitonga hivi huwa wanachukulia anayeenda Iringa? Au anayekuja Moro?[emoji2955]
Anaendesha vizuri kabisa. Mimi sijawahi endesha pikipiki, nikajifunza kwenye kinglion week, yangu CBR650 ikawa ishafika nikaamia, Power difference kubwa lakini kwa heshima nilimudu. Ingawa risk sana.Hivi dereva anaeweza endesha pikipiki hizi za kawaida kama boxer,kinglion nk hawezi endesha kawasaki ninja?
Achana na XL izo sio sport ni dirty.Asante mkuu,ila kiongozi hii ni ya mission town tu si yakufanyia michezo na xl naiona iko juu sana
Zanzibar kuna cheap bike. Ila kuna issue nikuambie, ebu fikiria kati ya Sport na Naked. Nachopenda Naked bike ukiangusha haivunjiki fenders.Nikweli mkuu kama hiyo honda CBR 600 ni m8 nimeuliza ila bara ni zaidi ya 10m
Sure. Racing zote zina RR mwishoni. Mfano CBR600RRAchukue Honda CBR600 ambayo sio Racing edition, Honda Cb400 super four, KTM Duke
Racing Replica , kwa anayeanza kutumia bike haimfaiSure. Racing zote zina RR mwishoni. Mfano CBR600RR