Ushauri kuhusu used Sports Bike

Vhukua CBR600 itakufaa sana, hakikisha unavaa safety gears kwa kila safari unayotoka hata kama sio mbali.

Kuhusu uendeshaji, utazingatia tu kwamba hiyo ni sport bike, ina nguvu kubwa tofauti na bike ya kawaida. Anza kwa kuiendesha mdogomdogo usivuke speed 60kph kwa muda wa week moja, alafu baada ya hapo utaanza kuongeza speed mdogo mdogo kadri unavyozidi kuielewa na kuizoea bike.

Katika mwezi mmoja tu wa mwanzo utaweza kuifahamu na kuielewa vizuri bike yako, kuanzia torque, balance kwenye corner na namna inavyo react unaposhika brakes n.k

Usiogope mkuu, ni jitihada na umakini tu.
 
Fata Ushauri wa Huyu jamaa ila kama Hela huna chukua HONDA CLICK
 
Anaendesha vizuri kabisa. Mimi sijawahi endesha pikipiki, nikajifunza kwenye kinglion week, yangu CBR650 ikawa ishafika nikaamia, Power difference kubwa lakini kwa heshima nilimudu. Ingawa risk sana.

Kwema mkuu?mimi bhana maisha yangu yalianzia kwenye bike nilikuwa bikeboy

Huwa natamani sana hizi bike kubwa niwe nalo hata limoja mara moja weekend napasha nalo msuli na mimi nilikuwa najiuliza nitaliweza maana watu wanatutisha mara power kubwa sana oooh daah… share experience yako kwenye hizi machine nami nikajiokotee.
 

Asante mkuu umenitoa hofu sana,nia nikumilik pikipiki yatofaut na tulizozizoea
 
Anaendesha vizuri kabisa. Mimi sijawahi endesha pikipiki, nikajifunza kwenye kinglion week, yangu CBR650 ikawa ishafika nikaamia, Power difference kubwa lakini kwa heshima nilimudu. Ingawa risk sana.

Mkuu naomba experience kdogo risk ni kama zipi[emoji120]
 


Panigale V4.

Hongera Mkuu kumiliki hii chuma.
Hii ni zaidi ya kumiliki dem mkali.
 

Mkuu chuma kama hiyo mpaka bongo inaenda ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…