Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,313
Reaction score
4,751
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.

Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa watenda kazi wa chama. Hivyo wamiliki wa hizo kanuni na katiba ni mkutano mkuu wa chama na siyo msajili wa vyama. Mkutano mkuu una mamlaka ya ya kuzibadili wakati wo wote. Hivi majuzi mkutano mkuu wa ccm kwa njia ya mtandao uliamua kuipa madaraka kamati kuu kufyeka mgombea ubunge yeyot hata kama alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni.

Hivyo ACT wazalendo waitishe mkutano mkuu wa chama haraka hata kwa njia ya Mtandao wa kubadili hizo kanuni ya siku 7 au sijui mwezi mmoja zinazomtaka mwanachama mpya kuwa kwenye chama kabla ya kuruhusiwa kuwa mgombea wa nafasi ya udiwani, ubunge au uraisi. Kanuni hii ndiyo kaitumia msajili kumwengua Mpina na Tume Huru ya Uchaguzi kuafiki.

Wamepewa kuja na alternative hadi jumatatu ijayo. Hivyo katika kucheza hii sarakasi, waitishe mkutano mkuu ambao utamteua tena Mpina kuwa mgombea wao. Kwanza hadi sasa ameshamaliza hicho kipindi cha mwezi mmoja hadi ajiunge na chama. Wafanye hiyo sarakasi huku wakiendelea na hizo hatua mahakamani. This might solve the problem in the easiest manner.
 
Viongozi wetu wa vyama nao Kuna mahala hawanfanyi vizuri yaani jambo kama hili kweli walikua hawalijui and then inakuaje atokee mtu wa ndani aweke pingamizi kwanini hawaku sortout mapema kabla ya kuja hadharani.
 
nimesimitika sana kiukweli
 
Wanaweza kufanya hivyo, ila wanapoteza credibility ya mgombea wao kwa jamii, pia inaonyesha hawana mtu wa maana ndani ya chama chao mwenye ushawishi.

Pia msajili hajawaonea, katoa maelekezo kutokana na malalamiko ya mwanachama mwenzao tena kiongozi mwandamizi.
 
Viongozi wetu wa vyama nao Kuna mahala hawanfanyi vizuri yaani jambo kama hili kweli walikua hawalijui and then inakuaje atokee mtu wa ndani aweke pingamizi kwanini hawaku sortout mapema kabla ya kuja hadharani.
Zitto, Jussa, Dorothy Temu ni kweli kwamba hawana ushawishi nje ya cha kuliko Mpina? Toka Maalim Seif afariki ACT haina ushawishi tena
 
Wakifanikiwa watakuwa wameongeza credibility ya mgombea wao kwani jamii itajua kuwa ccm inamwogopa mgombea huyo hadi kutaka kumkata na huko alikokimbilia kupitia msajili wao wa vyama vya siasa na tume yao ya uchaguzi.
 
Katiba yao imewaangusha
 
Wataliwahi jua kabla halijateremka?Kuna kila dalili ya kusimamishwa njiani ili watumie siku tatu kununua mapera mawili.It's playing the fool!
 
Viongozi wetu wa vyama nao Kuna mahala hawanfanyi vizuri yaani jambo kama hili kweli walikua hawalijui and then inakuaje atokee mtu wa ndani aweke pingamizi kwanini hawaku sortout mapema kabla ya kuja hadharani.
Kwani hamumuelewi Polepole?
Hii ilipangwa kabla kwa makusudi itokee kilichotokea.
 
Viongozi wetu wa vyama nao Kuna mahala hawanfanyi vizuri yaani jambo kama hili kweli walikua hawalijui and then inakuaje atokee mtu wa ndani aweke pingamizi kwanini hawaku sortout mapema kabla ya kuja hadharani.
Cha ajabu huyo aliyeshitaki alikuepo siku Mpina anapewa ridhaa ya kugombea urais. Na alikua mpambe wake sasa sijui ni maigizo wanafanya au vipi maana mbona ni loyal sana kwa Zitto huyo dada.
 
Mruka salakasi amekutana na uwanja wenye mavi mabichi ni swala la chaguo kuanguka kwa kinyaaa au kuendelea ili baadae akaoge!
 
Wanaweza kufanya hivyo, ila wanapoteza credibility ya mgombea wao kwa jamii, pia inaonyesha hawana mtu wa maana ndani ya chama chao mwenye ushawishi.

Pia msajili hajawaonea, katoa maelekezo kutokana na malalamiko ya mwanachama mwenzao tena kiongozi mwandamizi.
Mbona CCM hawakufuata kanuni?
 
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.

Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa watenda kazi wa chama. Hivyo wamiliki wa hizo kanuni na katiba ni mkutano mkuu wa chama na siyo msajili wa vyama. Mkutano mkuu una mamlaka ya ya kuzibadili wakati wo wote. Hivi majuzi mkutano mkuu wa ccm kwa njia ya mtandao uliamua kuipa madaraka kamati kuu kufyeka mgombea ubunge yeyot hata kama alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni.

Hivyo ACT wazalendo waitishe mkutano mkuu wa chama haraka hata kwa njia ya Mtandao wa kubadili hizo kanuni ya siku 7 au sijui mwezi mmoja zinazomtaka mwanachama mpya kuwa kwenye chama kabla ya kuruhusiwa kuwa mgombea wa nafasi ya udiwani, ubunge au uraisi. Kanuni hii ndiyo kaitumia msajili kumwengua Mpina na Tume Huru ya Uchaguzi kuafiki.

Wamepewa kuja na alternative hadi jumatatu ijayo. Hivyo katika kucheza hii sarakasi, waitishe mkutano mkuu ambao utamteua tena Mpina kuwa mgombea wao. Kwanza hadi sasa ameshamaliza hicho kipindi cha mwezi mmoja hadi ajiunge na chama. Wafanye hiyo sarakasi huku wakiendelea na hizo hatua mahakamani. This might solve the problem in the easiest manner.
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Zitto, Jussa, Dorothy Temu ni kweli kwamba hawana ushawishi nje ya cha kuliko Mpina? Toka Maalim Seif afariki ACT haina ushawishi tena
Kumbe huu mchezo watu wengi hamuelewi! Zitto hawezi kusimama kwa sababu atakakuwa anapingana na Kikwete mwenye chama na pia mama mgombea! Huenda kabisa hii ilipangwa ili Samia awe salama. Japo ACT ni pandikizi la CCM lakini mama hapendwi kiasi ambacho hata kumsimamisha na Mpina (tena kutoka kanda ya ziwa) kunaweza kuleta suprise isiyotogemewa i.e. riot ya wananchi
 
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.

Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa watenda kazi wa chama. Hivyo wamiliki wa hizo kanuni na katiba ni mkutano mkuu wa chama na siyo msajili wa vyama. Mkutano mkuu una mamlaka ya ya kuzibadili wakati wo wote. Hivi majuzi mkutano mkuu wa ccm kwa njia ya mtandao uliamua kuipa madaraka kamati kuu kufyeka mgombea ubunge yeyot hata kama alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni.

Hivyo ACT wazalendo waitishe mkutano mkuu wa chama haraka hata kwa njia ya Mtandao wa kubadili hizo kanuni ya siku 7 au sijui mwezi mmoja zinazomtaka mwanachama mpya kuwa kwenye chama kabla ya kuruhusiwa kuwa mgombea wa nafasi ya udiwani, ubunge au uraisi. Kanuni hii ndiyo kaitumia msajili kumwengua Mpina na Tume Huru ya Uchaguzi kuafiki.

Wamepewa kuja na alternative hadi jumatatu ijayo. Hivyo katika kucheza hii sarakasi, waitishe mkutano mkuu ambao utamteua tena Mpina kuwa mgombea wao. Kwanza hadi sasa ameshamaliza hicho kipindi cha mwezi mmoja hadi ajiunge na chama. Wafanye hiyo sarakasi huku wakiendelea na hizo hatua mahakamani. This might solve the problem in the easiest manner.
Hii ni pointi
 
Kwani jana si ndo ilikua mwisho kurudisha fomu.
 
Back
Top Bottom