Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.

Karibuni!
 
Waniteue mfuaji niwe makamu mwenykiti wao ninyooshe mambo.

Ni hayo tu.
 
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.

Karibuni!
AcT kuwa chama kikuu? What 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.

Karibuni!
Huu ni utabiri wenye mashiko sana. Labda tafsiri yake ni kwamba hichi chama bado kinaonekana chenye ustaarabu fulani unaweza kuwashawishi watanzania kujiamini angalau kukupa japo wabunge 10 au 15 na kuniwezesha kuwa na muonekano wa Chama kikuu iwapo hakutakuwa na chama chengine Cha upinzani vhenye idadi hiyo bungeni baada ya uchaguzi. Uwezekano huo upo maana chama ambacho kinajilabel kuwa Cha kikuu tayari hakioneshi dalili kuwa tayari kushiriki uchaguzi....just IMAGINE if ACT,CUF,TADE,NRA,UDP na wengine wakashiriki unadhani ni chama kipi chenye muelekeo wa kupata wabunge? Likely ni ACT. Naamini hii ndio tafsiri ya utabiri huo. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.

Karibuni!
You are not serious
 
act kama wakifanikiwa ku negotiate na wachaga wanaweza kwenye kuikalisha kitako CHADEMA
 
Chama kimepoaa kama uji wajuzi kisa madarakani yupo diniyao sijui
 
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.

Karibuni!
Kuwa chama kikuu cha Upinzani si lazima iwe kwa tafsiri yako hiyo kwamba kwakuwa CHADEMA haitashiriki na ACT kushiriki na hivyo ikipata viti viwili Bungeni inatosha kuwa Chama kikuu cha Upinzani.

Kuwa chama kikuu cha Upinzani ni kuwa na wafuasi na wanachama wengi zaidi. Kitendo cha CHADEMA kugomea uchaguzi kitsonesha nguvu yao zaidi. Kwakuwa mchakato wa uchaguzi mkuu utakosa mwamko na hekaheka tulizozizoea, wafuasi wote wa CHADEMA hawataenda kupiga kura hivyo itakuwa rahisi ku determine nguvu au kuchokwa kwa CCM kupitia idadi ya Wapiga kura.
 
Hujui mpaka sasa hivi ndio chama chenye wabunge. Wengi zaidi wa kuteuliwa
 
Kuwa chama kikuu cha Upinzani si lazima iwe kwa tafsiri yako hiyo kwamba kwakuwa CHADEMA haitashiriki na ACT kushiriki na hivyo ikipata viti viwili Bungeni inatosha kuwa Chama kikuu cha Upinzani.

Kuwa chama kikuu cha Upinzani ni kuwa na wafuasi na wanachama wengi zaidi. Kitendo cha CHADEMA kugomea uchaguzi kitsonesha nguvu yao zaidi. Kwakuwa mchakato wa uchaguzi mkuu utakosa mwamko na hekaheka tulizozizoea, wafuasi wote wa CHADEMA hawataenda kupiga kura hivyo itakuwa rahisi ku determine nguvu au kuchokwa kwa CCM kupitia idadi ya Wapiga kura.
Ahsante kwa elimu, ngoja tuone
 
Back
Top Bottom