Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

Membe akiwa Foreign Affairs alisafiri nchi nyingi za Africa na Caribbean kukusanya maoni ya faida na hasara kutoka nchi hizo ambazo zote zinaruhusu uraia pacha na hitimisho lake lilikuwa kwamba faida ni nyingi mno kuliko hasara na hakukuwa na hasara zozote. Yule mnafiki Kikwete baada ya kuona maccm wanapinga uraia pacha kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu akamruka Membe. Hizo FACTS ziletwe mara ngapi? Unadhani nchi nyingi za Africa ambazo zimeamua kuruhusu uraia pacha ZIMEKURUPUKA bila kufanya TATHMINI ya kina?
 
Mkuu sio iwe ya kibaguzi. Kwa wale waliopoteza uraia baada kuchukua uraia wa nchi nyingine, serikali itaamua kama warudishiwe haki zao za uraia. Tunazungumzia wale ambao bado hawajuchukua uraia wa nchi nyingine kwa kuogopa kupoteza uraia wa Tanzania na baadae.

Kuhusu diaspora kusaidia ndugu nimetoa mfano tu; inakuwaje tunaogopa hawa watu kuwa na uraia wa nchi mbili wakati Tanzania tayari inafaidika kutoka kwenye kundi hili? Mfano: wanatuma hela nyingi tu kwa ndugu zao na hii inasaidia kwenye uchumi wa nchi yetu.

Naona umejaribu kuibadilisha huu mfano usomeke kama vile wasipopata uraia pacha hawatasaidia ndugu zao.

Kwa ufupi hamna sababu ya msingi taifa letu kuwakataa raia wake wa nje.
 
Reactions: Mbu
Najua hilo, ndio maana nasema hakuna sababu ya muhimu zaidi ya kuendesha nchi kwa fikra za kichawi badala ya kisomi.
 
Mkuu Smart911, vipi tena kamanda wangu! Tushukuru Mungu hili swala likipitishwa, lina faida kubwa sana.. Nchi nyingi za afrika zimeruhusu uraia pacha, na zimeendelea.
Wanataka tusichakate pisi za kimalikia mpaka tunakufa ,it's not fair [emoji1787][emoji1787]
 
Kabisa Mkuu kama mimi sitafaidika basi ambaye ana nafasi ya kufaidika naye asifaidike bila kuangalia the BIG PICTURE of the whole issue about dual citizenship.
Wivu na roho mbaya itakumaliza ndugu...kwani wakiruhusu utahasirika nini!
 

Overseas Citizenship of India (OCI) is a form of permanent residency available to people of Indian origin and their spouses which allows them to live and work in India indefinitely. Despite the name, OCI status is not citizenship and does not grant the right to vote in Indian elections or hold public office.[1][2] The Indian government can revoke OCI status in a wide variety of circumstances. As of 2020, there are 6 million holders of OCI cards among the Indian Overseas diaspora.[3]
Overseas Citizen of India

Front Cover of an OCI card
First issued2 December 2005
PurposeVisa, Identification
Eligibilitysee eligibility
Cost₹15000 (In India)
US $275 (abroad)
Renewal ₹1400 (In India)
Renewal US $25 (abroad)
The OCI scheme was introduced by The Citizenship (Amendment) Act, 2005 in response to demands for dual citizenship by the Indian diaspora. It provides Overseas citizens many of the rights available to resident citizens. However, in a notification issued in March 2021, the government of India has dramatically curtailed those rights.[4]
OCI status is not available to anyone who has ever been a Pakistani or Bangladeshi citizen, or who is a child, grandchild, or great-grandchild of such a person.
 

Mkuu BAK, kumbuka kwa sasa Tanzania ni mojawapo ya nchi kumi katika Afrika ambazo bado haziruhusu uraia pacha, na huenda sasa zimebaki sita, kama Ethiopia na Cameroon wamesharuhusu. Kati ya nchi 54 za Afrika, 44 zimeruhusu uraia pacha.

Sisi tunasubiri nini! Aise hii nchi basi tu!! Mungu asaidie kwakweli.
 
Reactions: BAK
Wivu na roho mbaya itakumaliza ndugu...kwani wakiruhusu utahasirika nini!
Tatizo hiyo ajenda ya roho mbaya ndio mmeishikilia na ndio inayowakwamisha! Badala kushawishi kwa hoja mnawasema wenye mamlaka wana roho mbaya unadhani watawasaidia kweli... Sasa mimi nikuonee roho mbaya ya nini wakati sina na sitamani uraia wa aina hiyo maana hustle zangu zote ni hapa hapa na natoboa hapa hapa!
 
NTIMA NYONGO Mkuu! Watu wanakuja na sababu zisizo na kichwa wala miguu oh! Watatuletea majasusi! Oh! Watakuja kufanya wizi wa kutisha kisha wakimbilie kwao wakati majizi ya nchi hii yanaishi hapa hapa nchini na wala hayana uDC na yanakwiba trillions za walipa kodi. Sitashangaa Mkuu Tanzania kama itakuwa nchi ya mwisho katika Afrika kuruhusu uraia pacha.
 

Umeninukuu vibaya Mkuu Mzee Wa Kale Kabisa..Sijawasema wenye mamlaka wana roho mbaya..
 

Very sad! Na watakuwa wamechelewa sana kuruhusu, wakati nchi zilizoruhusu zina maendeleo makubwa, sisi huku tunayachelewesha.


Mungu asaidie kwakweli, hope litafanyiwa kazi Mkuu BAK!
 
Reactions: BAK
Okay nimekuelewa Mkuu! Hiyo haina maana, kwa kuwa ni permanent residency ambayo wao wameamua kuiita citizenship. Ona wanavyoichezea;

March 2021, the government of India has dramatically curtailed those rights. OCI status is not available to anyone who has ever been a Pakistani or Bangladeshi citizen, or who is a child, grandchild, or great-grandchild of such a person.
 
Reactions: BAK
Hapa wame curtail kwa sababu za mambo yao ya uhasama wa tamaduni zao India vs Pakistan na Bangladesh. Sisi so far hatuna hizo tofauti au sijategemea kuwa zitawekwa
 
Bila shaka Mheshimiwa Balozi anajua hili, alikuwa Marekani:

§337.1 Oath of allegiance.

Except as otherwise provided in the Act and after receiving notice from the district director that such applicant is eligible for naturalization pursuant to §335.3 of this chapter, an applicant for naturalization shall, before being admitted to citizenship, take in a public ceremony held within the United States the following oath of allegiance, to a copy of which the applicant shall affix his or her signature:

I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God.

BILA KUMUNG'UNYAMUNG'UNYA, PLEASE READ THE LAST SENTENCE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…