Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

Chief! You are too barbarian
 
Kuwateka na kuwatesa watu, kuua na kubambikizia kesi, ndo utaratibu maalumu unazungumzia?!
 
Umeandika vyema, ila hapo kwenye habari za Yesu umeharibu, Yesu ni kweli aliishi miaka hiyo, lakini Yesu halisi ni tofauti na aliyesimuliwa kwenye biblia (Stories nyingi za kwenye biblia ni za kutunga na zimejaa chai za kiwango cha SGR).
Wewe ni M P U M B A V U! Kwa sababu Biblia imesema “mpumbavu amesema moyoni mwake, hakuna Mungu!” Kwa hiyo Wewe ni mmoja wa wapumbavu!
 
Wewe ni M P U M B A V U! Kwa sababu Biblia imesema “mpumbavu amesema moyoni mwake, hakuna Mungu!” Kwa hiyo Wewe ni mmoja wa wapumbavu!
Endelea kuamini hizo chai za warumi, walizitunga ili wakutawale vizuri jinga wewe....Uliletewa hizo dini na wakoloni ili wakutawale, na wewe umezipokea kama zuzu flani, hata kuhoji unashindwa..
 
Kwa hiyo mama anatumia mabavu kuwatesa wale makomando na kumbambikizia Mwamba Mbowe kesi? Ni upi huo mwingi ambao mama anaupiga, hasa kwenye muktadha huu?!
Hao watu kama waliteswa kweli basi ni 2020, na hiyo kesi ilifunguliwa hiyo 2020!! Huyo Mama kawatesa vipi wakati hiyo kesi ni mojawapo ya majanga aliyoachiwa na mtangulizi wake?
 
Umeshindwa kuelewa kuhusu SHERIA na UHUNI. Tanzania hakuna sheria inaruhusu mtuhumiwa kuteswa, kunyanyaswa au kufanyiwa vitendo VIOVU katika kupata ushahidi (confession).



Ubarikiwe.
Umemjibu pointi sana mkuu. Lakini hivi vizabinazabina havitakagi neno SHERIA NA HAKI. Wanakulia kota za polisi wamezoea kuona uonevu kwa wengine. Wanajihisi pekee yao ndio wenye haki ya kuamua hali ya mtu mwingine iweje
 
Uvcccm mnakatwa
 
Umesahau nchi yenye demokrasia ya kupigia mfano, USA inavyotumia torture kwenye magereza huko Guantanamo tena kwa watuhumiwa wa huu huu ugaidi.

 
Hawajui historia ya nchi hii vilaza hawa! Alafu wanataka kukamata dola kumbe wahuni wababaishaji tu[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mkuu, Lisu akisoma coments zako za kabla ya oktoba 2020 na za sasa hivi anaweza kulia
 
Ila mimi nmewashangaa sana wana Bavicha wanataka kuaminisha umma kwamba wanajeshi wanweza kupindua nchi kisa wenzao walikamatwa kwa uhalifu
 
Naona jaji umekuja kuweka maamuzi yenu wazi kwamba iwe isiwe lazima muumfunge Mboye???
Hopeless kweli
 
Hutuwezi kuishi kwa historia ndugu. Zile zilikuwa enzi za ujima ambapo hata tv alikuwa nayo nyerere tu.
 
Hongera mtoa mada .Umewafafanulia vizuri sana ,vijana wa CDM ,ambao wengi hawajui kabisa history ya Tanzania. Hata history ya juzi juzi ya boyz two men,pia hawaijui.Ila ningependa kutoa point of correction hapo juu.Kuwa Luten Pancreas Ndejembi,ambaye alikuwa mwenyekiti wa muda mrefu wa mkoa wa Dodoma ,kwa sasa marehemu ni babu ya naibu waziri,Ndejembi.Baba ya naibu waziri ,ambaye alikuwa mtoto wa Ndejembi mwenyekiti alifariki 2006 pale DSM.Asante.
 
Kwanini MBOWE msimpige shaba moja tu ya kichwa mchezo uishe?
 
Stori haijakamilika- Shingo upande Mwalimu aliomba msaada kwa Malkia Elizabeti kuzima ausi.Bila hiyana malkia alingiza timu ya who dare win, ikafyeka waasi. CCm lazima muheshimu "mabeberu" bila msaada wa malkia sidhani ccm ingezaliwa 77.
 
Pumbv zako nadhani unataka kusema neno la maana kumbe unataka kulinganisha huu umbambikizaji wa kesi unaoendelea kwa
sasa na kesi genuine Kama Ile!
kipindi hicho watu waliokuwa hawabambikiziwi kesi Wala polisi walikuwa hawateki watu walikuwa wanawakamata kwa mujibu wa Sheria, pia polisi wasiojua PGO hawakuwepo isome vizuri hiyo kesi utaiona tofauti.
 
Panua wigo wa mfano wako huu je hizi kesi zimeshafikishwa mahakamani?one thing for sure kama ushahidi wao umepatikana kwa mateso,hizi kesi hazitafanikiwa kabisa
 
Maswali ya kikibatala...
1. Hao wenye akili ndio pamoja nawewe?
2. Waeleze jf nani alobisha hakujawahi kamatwa wanajeshi hapokabla
3. Kwaujuavyo hao uliwaongelea je,
  • walitundikwa na kupigwa?
  • elezea kama walibambikwa madawa na silaha
  • wambie jf kama walikaa na njaa sikukumi?
  • hukusema kama walitishwa kuuwawa
  • je,ulieleza jf kama nyumbazao zilivunjwa na kusachiwa bila mwenyeji kuwepo.
  • eleza kama walichukuliwa fedha na hazikuandikishwa
    • kunamwenzao ilisemekana alitupwa?
    • sasa kwa akili ulizodai unazo kesi hizi zinafanana?
  • unaijua PGO wewe??

Pimbi wewe ntakuonea bureee uje kujinyea humu.....
#inspiredbykibatala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…