Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

Umeandika vyema, ila hapo kwenye habari za Yesu umeharibu, Yesu ni kweli aliishi miaka hiyo, lakini Yesu halisi ni tofauti na aliyesimuliwa kwenye biblia (Stories nyingi za kwenye biblia ni za kutunga na zimejaa chai za kiwango cha SGR).
Usiandike baada ya kuwa umeshalewa gongo, kama unasema maandiko ya Biblia ni ya kutunga tuambie basi hayo yaliyo sahihi.
 
Kweli kabisa mtu aliiona ya vyombo vya habari nyakati hizo waliandika kila kitu. Mbona Nyerere alikuwa haogopi vyombo vya habari mpaka kuviachia vifanye kazi kwa huru namna ile!!!
Ni kwa sababu ile kesi ni kweli ilikuwepo na kuna watuhumiwa hata walikiri mbele ya walinzi wa amani (Justice of the Peace) ambao siku hizi hata siwasikii.

Pia nakumbuka kwenye ile kesi kuna watuhumiwa mahakama iliwaachilia huru kwa kukosa ushahidi, kama akina Banyikwa na wengine nimewasahau.

Kwa kweli pamoja na kwamba ulikuwa ni utawala wa chama kimoja (One Party Dictatorship) lakini lazima tukubali kwamba haki ilikuwa ikizingatiwa sana na majaji wa wakati huo walikuwa na weledi wa hali ya juu sana tofauti kabisa na hawa wa leo.

Najaribu kupiga picha tu leo hii watuhumiwa ktk kesi ya uhaini kweli wataachwa wapelekwe mahakamani wakiwa hai, sidhani. Nafikiri hata maiti zao hatutaziona.
 
Chadema ni kama ***** hawasikii mpaka watoke damu masikioni
 
Magaidi hawana Sheria wanateswa tu kwa Kila njia hata waliopo Guantanamo bay wanajuta kufanya ugaidi,sembuse mchaga moja na wahuni wake
 


Unanikumbusha kuna wakati washabiki wa Hayati walisema Lissu haponi kumbe Mungu ana mipango yake. Kuweni makini sana kwenye kupangia watu maisha yako na hatima yao huwezi kujua Mungu kapanga nini. Msije kushangaa Mbowe ndiyo anapona
 

Kuna ushauri wowote umewapa CCM, serikali au wanao washikilia kinyume cha katiba: Moses Lijenje, Luteni Urio, Ben Sanane au Azory?

Kama bado hujachelewa ungeanza na huu:



ingependeza tu.

Hiiiiii bagosha!
 
Unanikumbusha kuna wakati washabiki wa Hayati walisema Lissu haponi kumbe Mungu ana mipango yake. Kuweni makini sana kwenye kupangia watu maisha yako na hatima yao huwezi kujua Mungu kapanga nini. Msije kushangaa Mbowe ndiyo anapona

Aliyekuwa usiache kutupa mrejesho
 
Na zaidi JWTZ haihitaji kutetewa na BAVICHA wao wa-deal na Mwenyekiti wao.
 
Ndiyo , Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai inaruhusu ushahidi uliopatikana kwa njia ya utesaji hasa huo ushahidi unaposababisha kupatikana au kugundulika kwa kitu au jambo fulani

..ungetusaidia hicho kifungu ili kuthibitisha madai yako.

..naamini mahakama italazimika kuchukua ushahidi uliopatikana bila utesaji kuthibitisha tuhuma zinazomkablli Mbowe na wenzake.
 
Na zaidi JWTZ haihitaji kutetewa na BAVICHA wao wa-deal na Mwenyekiti wao.

Hata huyu haihitaji kuuliziwa?



Ndivyo yeye na familia yake walivyosema au walivyokutuma kuwasemea?

Ufafanuzi wako bwana wewe usiyejulikana tafadhali.
 
UPUUZI MTUPU!!!

 

Tulipo leo kuna Tiss wamepenyezwa nao ni majaji.

Leo tuna watu wasiojulikana.

Ben, Azory, Lijenje na waliopotea wanaweza kuwa wanashikiliwa hai mahali.

Hali ya haki leo ni mbaya zaidi:



Wacha waendelee kujishasha, ila tunamtaka Lijenje akiwa hai.
 
Chadema wameshikwa pabaya sana mwakauu, nakumbuka Sabaya alipokamatwa tu walikunywa bia na kuchoma ile nyama yetu kwa fujo, leo kibano kimekuja kwao kinakuwa cha uchungu.
Kwani chadema hawana imani na mahakama kuwa itatenda haki kwa Mbowe, tulieni mahakama ifanye kazi yake.
Kuanzia majuzi nasika ohoo eti serikali itapata aibu hivyo wafute hii kesi, kweli!! Yaani leo Bavicha wanaofia serikali ya CCM kupata aibu basi ni ajabu
 
Kikubwa ujumbe umefika
Ujumbe gani sasa uliotoa hapo au unahisi nani halifahamu hilo swala la kina Hanspope?? Na je Hio inshu ya kina Hanspope na ya Mbowe vina relation mkuu?? Au na wewe ulisimuliwa halaf umekuja na ki-thread ukoko chako hapa.
 
Kama mliweza wabambika kesi mashehe wa uhamsho na wazee wa escrow wakasota ndani miaka bila lepe la aibu mkawaachia baada ya kuona awatoi pesa mtashindwa vipi kumpanga mahita na kingai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…