Ingekuwa inatenda haki mahabusu wasingejaaChadema wameshikwa pabaya sana mwakauu, nakumbuka Sabaya alipokamatwa tu walikunywa bia na kuchoma ile nyama yetu kwa fujo, leo kibano kimekuja kwao kinakuwa cha uchungu.
Kwani chadema hawana imani na mahakama kuwa itatenda haki kwa Mbowe, tulieni mahakama ifanye kazi yake.
Kuanzia majuzi nasika ohoo eti serikali itapata aibu hivyo wafute hii kesi, kweli!! Yaani leo Bavicha wanaofia serikali ya CCM kupata aibu basi ni ajabu
Usiandike baada ya kuwa umeshalewa gongo, kama unasema maandiko ya Biblia ni ya kutunga tuambie basi hayo yaliyo sahihi.
Kwa iyo ushakata tamaa kuwa Mbowe anaenda kutiwa nyavuni?Ingekuwa inatenda haki mahabusu wasingejaa
Kwa uonevu labda kama wazee wa escrow au uhamshoKwa iyo ushakata tamaa kuwa Mbowe anaenda kutiwa nyavuni?
Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla
Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama
Napenda kuwashauri hivi;
Embu jitahidini kusoma na kujua angalau kidogo historia ya nchi hii na nadhani itawasaidia kidogo
Wanajeshi wa kesi ya Mbowe si watu wa kwanza nchini kudhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama vya Tanzania baada ya kufanya Jinai.
Mwaka 1981, Wanajeshi kadhaa akiwemo Komando Tamimu, Kapteni Kadego,Kapteni Maganga, Luteni Zacharia Hanspope, Kapteni Maghee na wenzako walifanya mpango wa kutaka kuiangusha Serikali ya Awamu ya kwanza.
Kwenye mipango iyo Walishirikiana na Wanajeshi wenzao akiwemo Luteni Ndejembi( Ambaye alikuja kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma- Ni baba Mzazi wa Naibu Waziri Ndejembi, Mbunge wa Chamwino)
Wakati wanapanga mipango yao Ndejembi na wenzake waliwaripoti kwa Mkuu wa Usalama Jeshini . Enzi izo alikuwa Luteni Kanali Davis Mwamunyange ( Ambaye Kwa sasa ni CDF Mstaafu )
Baada ya mipango iyo kusanuliwa Vikosi vya ulinzi na Usalama ( JWTZ, TISS na Polisi) walifanya operesheni maalumu iliyowezesha wanajeshi hao wote kukamatwa na kuuwawa kwa Komando Tamimu ambaye aliuliwa akijaribu kutoroka. Wanajeshi hawa ukisoma kesi hii walipitia msoto wa uhakika ikiwemo torture ili kupata kiundani mipango yao
Kesi ilienda Mahakamani na watuhumiwa wote walihukumiwa vifungo gerezani! Kesi iyo iliendeshwa na Wakili wa Serikali matata aliyejulikana kama Sekule ambaye alikuwa DPP na baadae akaja kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Kwa maelezo haya napenda leo kuwahusia Bavicha na Chadema, acheni kuanzisha vi thread vyenu uchwara ambayo vinaonesha hamjui historia ya hii nchi. Kama mnadhani mnaleta uchonganishi basi jueni mnakosea sana. Vyombo vya dola vya Tanzania vinafanya kazi kwa utaratibu maalum na ndo mana nchi iko salama miaka yote hii tangu Uhuru
Poleni sana Bavicha na Chadema!
Mbowe haponi!
Torture haiigwi ni human nature, before mzungu afike Africa torture ilikuwepo kwenye chiefdoms, jiulize kwanini Shaka Zulu alikimbiwa uje na majibuβ¦huo ushoga wenu its against nature. β¦Kama unakubali kuigwa ya Guantanamo kwa nini unapinga ushoga?
Nyie mnaonufaika na utawala dhalimu lazima muutetee tu bila kujali watu wanateseka na kufa ili mradi matumbo yenu yajae.
Upumbavu at its best kwa middle class wa kitanzaniaNyie acheni uzwazwa, kesi gani ambayo washitakiwa hawateswi? Kama kutesa ni warrant ya kufuta kesi, basi wote walioshitakiwa waachiwe huru.
Ujumbe gani sasa uliotoa hapo au unahisi nani halifahamu hilo swala la kina Hanspope?? Na je Hio inshu ya kina Hanspope na ya Mbowe vina relation mkuu?? Au na wewe ulisimuliwa halaf umekuja na ki-thread ukoko chako hapa.
Mbowe haponi hata kura yangu haikupona mliikomba, wanaccm ndio raia daraja la kwanza nchi hii. Wewe ungejua historia ya nchi hii ungejua mwingereza hakuwaua wala kuwafunga waliopigania uhuru, aliondoka bila kuacha kesi yoyote ya ugaidi.Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla
Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama
Napenda kuwashauri hivi;
Embu jitahidini kusoma na kujua angalau kidogo historia ya nchi hii na nadhani itawasaidia kidogo
Wanajeshi wa kesi ya Mbowe si watu wa kwanza nchini kudhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama vya Tanzania baada ya kufanya Jinai.
Mwaka 1981, Wanajeshi kadhaa akiwemo Komando Tamimu, Kapteni Kadego,Kapteni Maganga, Luteni Zacharia Hanspope, Kapteni Maghee na wenzako walifanya mpango wa kutaka kuiangusha Serikali ya Awamu ya kwanza.
Kwenye mipango iyo Walishirikiana na Wanajeshi wenzao akiwemo Luteni Ndejembi( Ambaye alikuja kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma- Ni baba Mzazi wa Naibu Waziri Ndejembi, Mbunge wa Chamwino)
Wakati wanapanga mipango yao Ndejembi na wenzake waliwaripoti kwa Mkuu wa Usalama Jeshini . Enzi izo alikuwa Luteni Kanali Davis Mwamunyange ( Ambaye Kwa sasa ni CDF Mstaafu )
Baada ya mipango iyo kusanuliwa Vikosi vya ulinzi na Usalama ( JWTZ, TISS na Polisi) walifanya operesheni maalumu iliyowezesha wanajeshi hao wote kukamatwa na kuuwawa kwa Komando Tamimu ambaye aliuliwa akijaribu kutoroka. Wanajeshi hawa ukisoma kesi hii walipitia msoto wa uhakika ikiwemo torture ili kupata kiundani mipango yao
Kesi ilienda Mahakamani na watuhumiwa wote walihukumiwa vifungo gerezani! Kesi iyo iliendeshwa na Wakili wa Serikali matata aliyejulikana kama Sekule ambaye alikuwa DPP na baadae akaja kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Kwa maelezo haya napenda leo kuwahusia Bavicha na Chadema, acheni kuanzisha vi thread vyenu uchwara ambayo vinaonesha hamjui historia ya hii nchi. Kama mnadhani mnaleta uchonganishi basi jueni mnakosea sana. Vyombo vya dola vya Tanzania vinafanya kazi kwa utaratibu maalum na ndo mana nchi iko salama miaka yote hii tangu Uhuru
Poleni sana Bavicha na Chadema!
Mbowe haponi!
Ila kwa njia ya kipumbavu.πππππKikubwa ujumbe umefika