Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kwa kiburi kile na hotuba yake yenye kiburi hawawezi asilaniKwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
Sahihi, hawa jamaa sio watu wa kawaida..cha kushangaza Jumapili na Ijumaa,mbio kusali...INASHANGAZA sanaMkuu hao hawana roho ya utu ilishawatoka muda sana, ni ukweli mchungu.
Kwa mambo yaliyotokea, ile sio roho ya kawaida pure evilSahihi, hawa jamaa sio watu wa kawaida..cha kushangaza Jumapili na Ijumaa,mbio kusali...INASHANGAZA sana
Mkuu hukupata zile msg za polisi kuhusu picha za kutisha.....!!! Kwa zile msg unajua kuna kitu hakipo sawaaMazishi ya Nani? Acheni kuleta taharuki vijana mkishashiba Ugali
Where are they burying the bodies?Sijui think tank ya hili Taifa iko vipi.
Yaani u destroy 700 Body carne ya 21?
Unaenda kuzika Usiku 😭 kwa pamoja and u know kuna sattelitte images 😭
Hii ndo best idea kutoka kwa TISSUE?
Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.Sijui think tank ya hili Taifa iko vipi.
Yaani u destroy 700 Body carne ya 21?
Ungekua karibu ungekupa kisu cha koromeo.Mazishi ya Nani? Acheni kuleta taharuki vijana mkishashiba Ugali
Mazishi ya Nani? Acheni kuleta taharuki vijana mkishashiba Ugali
200 bodies zimezikwa kaburi la pamoja Songwe. Raisi asiye na uhalali wa umma anauaje watu wengi hivi kisha tukae kimya? Aliiga kwa Magufuli kupora uchaguzi. Tukikaa kimya anayekuja ataua akae pia madarakani. Tuchore mstari. Tuitishe maandamano makubwa ya kitaifa kulaani mauaji haya. Kisha ifuatie na kufungua kesi mahakama ya ICC. Hili si la.kufumbia macho.Sijui think tank ya hili Taifa iko vipi.
Yaani u destroy 700 Body carne ya 21?
Unaenda kuzika Usiku 😭 kwa pamoja and u know kuna sattelitte images 😭
Hii ndo best idea kutoka kwa TISSUE?
NAJUA HII COMMENT ITANIPA BAN ILA WEWE JAMAA **** LA MAMA YAKO.Mazishi ya Nani? Acheni kuleta taharuki vijana mkishashiba Ugali
Kwa niliyo ya ishii hii wiki Kuna mengi ya kinyama nimeyaona...hata hatuandamani tumekaa nyumbani mtu anatumiminia RISASI za moto mbona ni BAHATI NZURIII TU...imetuweka hai hii Leo.NAJUA HII COMMENT ITANIPA BAN ILA WEWE JAMAA **** LA MAMA YAKO.
AmenKwa niliyo ya ishii hii wiki Kuna mengi ya kinyama nimeyaona...hata hatuandamani tumekaa nyumbani mtu anatumiminia RISASI za moto mbona ni BAHATI NZURIII TU...imetuweka hai hii Leo.
Of course naitaji concealing ili niwe sawa.... Wale askari waliwatoa wapi...na un wonderfully enough serikali ipo kimya kama hakija tokea kitu...Amen
HawatakusikiaKwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
Wewe, Bibi yako, mama yako, mna access ya ya Satellite images zaidi ya Pentagon?Sijui think tank ya hili Taifa iko vipi.
Yaani u destroy 700 Body carne ya 21?
Unaenda kuzika Usiku 😭 kwa pamoja and u know kuna sattelitte images 😭
Hii ndo best idea kutoka kwa TISSUE?