Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,315
- 46,858
Askari wamevalia uniform hizi za Tz?Of course naitaji concealing ili niwe sawa.... Wale askari waliwatoa wapi...na un wonderfully enough serikali ipo kimya kama hakija tokea kitu...
Askari wamevalia uniform hizi za Tz?Of course naitaji concealing ili niwe sawa.... Wale askari waliwatoa wapi...na un wonderfully enough serikali ipo kimya kama hakija tokea kitu...
Kuna watu wamekataliwa Duniani na Mbinguni ndio maana mauaji yamekuwa makubwaKwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
According to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.
Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
Nacho andika sio propaganda Hawa Hawa askari...Askari wamevalia uniform hizi za Tz?
Walikata internet Ili mauaji yafanyike kimya kimya bila kujihami!!
Kifupi hii ilikua no mauaji ya kimbari ya 2025 kama Yale ya Rwanda ya 1994!!!
Ok,KAZI na utu tunasonga mbele!
Sahihi mkuu,Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo,
I witnessed thisKwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.
Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
Risasi zinapenya mpaka madirishani! Waliokufa wengi waliona haiwahusu kwaio wakaendelea na mambo yao, ila sasa ukikutwa road unakula shaba!Sahihi mkuu,
Waliouawa wakiwa hawaandamani ni wengi sana. Yaani ilikuwa mauaji ya uonevu kwa makusudi tu
Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
🥲🥲Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.
Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
Leo nahisi kuchanganyikiwa.According to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2
Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo, kuna mama mjamzito alikuwa anapita, kuna boda wlikuwa wnaapita na wamama pia! Kuna mtoto arusha kama sikosei alikuwa kasimama getini.. matukio ni mengi jamani eeh😭💔
Mtaa gani mkuu?Hii ya banda la mpira imetokea mwanza..