GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
According to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2

Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo, kuna mama mjamzito alikuwa anapita, kuna boda wlikuwa wnaapita na wamama pia! Kuna mtoto arusha kama sikosei alikuwa kasimama getini.. matukio ni mengi jamani eeh😭💔
Buswelu hyo..jamaa wamepigiwa kweny banda la mpira...hao wa saloon ni kisesa
 
Jamani, kama ni hivyo basi kabla ya kulaumu tujiulize vzr Kuna nini maana hizi tetesi kuwa Kuna watu wa nchi jirani wamekuja majumbani kwetu wakiwa wamejipanga kufanya vurugu........tuchungize vzr
Huo ni uongo na propaganda za watawala.
Watanganyika wengi sana wameuawa, na wanafamilia wao wapo.

Waliokuja kutoka nje ni walioshiriki kuuwa Watanganyika: yaani Kmkm wa Zanzibar, Waganda..
 
Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.

Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.

Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
Unampigia Mbwa gitaa.


Samia hana akili hiyo.

Yeye anataka maisha yaendelee kama hakijatokea kitu
 
Back
Top Bottom