GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
According to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2

Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo, kuna mama mjamzito alikuwa anapita, kuna boda wlikuwa wnaapita na wamama pia! Kuna mtoto arusha kama sikosei alikuwa kasimama getini.. matukio ni mengi jamani eeh😭💔
Mwanza kuna dereva bajaji aliuliwa kwanza kisha ndugu zake wawili wakauliwa wakielekea msibani. Ndani ya familia moja misiba mi 3 within 8- 10hrs
 
Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.

Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.

Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
Kuitisha maziko ya kitaifa ni kama wananchi kufanya handshake na hawa waovu na damu za waliokufa zitakuwa zimepotea bure. Njia pekee ya kuwapa heshima ni kushughulikia yale waliyokuwa wanayapigania.
 
Lawama hizi ziende kwa upande wote serekali kwa kutokusikiliza wananchi pamoja na waandamanaji waliofanya uhalifu kwa kuchoma vituo vya mafuta, vituo vya polisi , wizi , kuharibu miundombinu wote wanastahili kubeba hizi lawama.

Uhalifu haudhibitiwi kwa uhalifu.
Serikali haijapoteza maisha…….!
 
Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.

Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
jamani acheni kuongezea chumvi basi wandugu wapi hiyo imetokea ?
 
Hawatafanya hivyo kamwe, kufanya hivyo ni ku-endorse hili jambo na hawako tayari kulipa mileage kwa faida zao kisiasa.

Viongozi wote walioliongelea hili wameongea kwa kiburi, kejeli, kulidogosha na kuliondolea relevance. Kuanzia kiongozi mkuu, Mombo, Chalamila na Jeshi la polisi.

Hata wasanii wanavyopost ni pure scripted as if vifo vimetokea tokea tu wakati ni binadamu wameuwawa na watu wenye silaha za kivita, Wenye uniform za jeshi la polisi na wasio na uniform.
 
Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.

Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
Acha uongo wewe, kha!
 
JAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.

NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.

WANASEMA MAUAJI HAYO YATAWAHUSU PIA NDUGU, WATOTO NA FAMILIA ZA HAO VIONGOZI WALIOTAJWA.

PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)

KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.

NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.

NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
 
misiba mingi itakuwa ni nchi jirani
 
Ni ajabu sana lakini ni kweli mkuu.
Ilitokea kanda ya ziwa. Taarifa hii nilipata kwanza kwa ndugu halafu saivi ipo X
Jamani, kama ni hivyo basi kabla ya kulaumu tujiulize vzr Kuna nini maana hizi tetesi kuwa Kuna watu wa nchi jirani wamekuja majumbani kwetu wakiwa wamejipanga kufanya vurugu........tuchungize vzr
 
Back
Top Bottom