GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna watu wamekataliwa Duniani na Mbinguni ndio maana mauaji yamekuwa makubwa
 
Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.

Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
According to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2

Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo, kuna mama mjamzito alikuwa anapita, kuna boda wlikuwa wnaapita na wamama pia! Kuna mtoto arusha kama sikosei alikuwa kasimama getini.. matukio ni mengi jamani eeh😭💔
 
Askari wamevalia uniform hizi za Tz?
Nacho andika sio propaganda Hawa Hawa askari...

Kwa Sasa ni Bora nione gari la jwtz na Imani nalo ila sio polisi Tz tangu jumatano mchana, alhamis, ijumaa ,jumamos na jumapili unamiminaje risasi za moto kimo cha tumbo mpaka kichwanii kwa armless civilian tena wasio kua kwenye maandamano?!
 
Kwa nchi nzima siyo 700, ni elfu kadhaa.

Kwa mfano kuna vijana walikuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba, wakavamiwa na askari wakaambiwa lala chini, wakalala, wakauawa wote. Wawili waliotoka nduki ndo pekee walipona
I witnessed this
 
🥲🥲
 
Leo nahisi kuchanganyikiwa.
 
Lawama hizi ziende kwa upande wote serekali kwa kutokusikiliza wananchi pamoja na waandamanaji waliofanya uhalifu kwa kuchoma vituo vya mafuta, vituo vya polisi , wizi , kuharibu miundombinu wote wanastahili kubeba hizi lawama.

Uhalifu haudhibitiwi kwa uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…