Buswelu hyo..jamaa wamepigiwa kweny banda la mpira...hao wa saloon ni kisesaAccording to aljazeera atleast 700 people were killed in Dar, kwa nchi maybe kwenye elfu 2
Hii ya banda la mpira imetokea mwanza na wengine walikutwa saluni ikawa hivyo, kuna mama mjamzito alikuwa anapita, kuna boda wlikuwa wnaapita na wamama pia! Kuna mtoto arusha kama sikosei alikuwa kasimama getini.. matukio ni mengi jamani eeh😭💔
Huo ni uongo na propaganda za watawala.Jamani, kama ni hivyo basi kabla ya kulaumu tujiulize vzr Kuna nini maana hizi tetesi kuwa Kuna watu wa nchi jirani wamekuja majumbani kwetu wakiwa wamejipanga kufanya vurugu........tuchungize vzr
Kuna vitu na andika na kufuta naandika na kufuta..Wamesema et nyie si watz
Unampigia Mbwa gitaa.Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence nyingine mbaya huko mbeleni.
Itisheni siku ya maziko na kuomba radhi, it's not too late.
Misiba ya nchi jirani iko mingapi jinga lao?misiba mingi itakuwa ni nchi jirani
Na nyamanoro walikuwa kwenye kahawaBuswelu hyo..jamaa wamepigiwa kweny banda la mpira...hao wa saloon ni kisesa