Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Pasco acha hahari zako wengine tunahamu ya kuvunja watu wewe unaleta sanaa za kuwapa ushauri sisi tutapata wapi watu wa kupiga? Acha waje tufanye kazi yetu tupate posho za kazi ya kutukuka.
Pole kwa kukosa posho! . Hata hivyo nimeshauri mlipwe tuu kwa vile fungu lilishatengwa, ila sasa kesho mjiunge na JWTZ kufanya usafi!.

Pasco
 
Mbowe aliwakataza Bavicha wasiende dodoma watatumia njia za kimahakama kudai haki zao. Sasa nini kimebadili msimamo wao na Lowasa aliyewashauri kuwa maandamano hayasaidii? Hivi hawa ndugu zetu wanajua wanasimamia nini?
Wanaojua! .
Pasco
 
Pasco we mjanja sana. Unauma na kupuliza. Nilikusoma hapa ukiunga mkono maandamano, ulikua tayari kuandamana. Bisha!
Frema, mimi ni mtu wa maandamano, tangu yale ya Mwembechai, yale ya Zanzibar ya 2001, kule Zanzibar nimelala Mwembe Madema!. Maandamano mengine yote nilikuwepo! .

Hata haya ningekuwepo! .
Pasco
 
Nakubaliana na wewe ila bora kujenga daraja kuliko ukuta! .

Pasco
 
Much respect! , kuna watu mliona mbali!.

Pasco
 
I'd like to differ, "a dead man is no more!". You better live in shame but alive!. People will call you names, shameful!, coward! , etc but you are a live!, kuliko a dead hero who is just a name and honours but the body inside 6 ft under will rot and reduction to dust!.
Chadema wamechagua life and not death.

Pasco
 
Ushauri umesikilizwa, jee sasa kimekoma kuwa chama cha siasa? .

Pasco

Circumstance za sasa ni tofauti na wakati ule ulipoanzisha huu uzi!

Kwa wakati ule wangekuwa wamesarenda

Ila kwa sasa walichokifanya ni tactical retreat, very smart move maana Jamaa hana mapesa ya kila siku ya kuzuia maandamano na mikutano!
 
Ukitoa ushauri fulani, kisha ushauri huo ukafuatwa, mtu unapaswa kuja tena na kumpongeza huyo aliyefuata ushauri wako, hata kama kilichofanyika sio lazima kiwe ni kutekeleza ushauri ulioutoa wewe, bali ni utekelezaji wa ushauri walioutoa wengine, lakini the subject matter ni ile ile ya ushauri wako, kuwa Chadema wasiandamane, na hawakuandamana tena!.

Asante Chadema kwa usikivu.

Pasco
 
Nafanya Rejea kuhusu the doctrine of separation of powers.

Paskali
 
FYI
P.
 
Pascal siku itakapofika ccm watatafuta kwa kukimbilia hawata paona wala hakuna polisi atakaye tamani kuvaa gwanda
Naomba mungu atupe uhai mpaka siku io
 
Hahaaaaaaa huna jipya. Kama Rais ni dikteta ungeweza kunena hayo na ukaendelea kudunda mitaani? Itafakari hiyo picha jiangalie undani wa nafsi kama unayoyaandika yako moyoni mwako au hasira za utumiwaji uchaguzi uliopita
 

Attachments

  • FB_IMG_1498368151434-1.jpg
    8.5 KB · Views: 44
Nasikia kuna maandamano mengine ya tarehe 26/04/2018, nasikitika kusema hiyo tarehe hakuna Mtanzania mwenye akili timamu ataandamana ndani ya ardhi ya Tanzania.
P
 

Pascal, kabla hata sijamaliza soma makala hii elemishi, nimesukumwa nikujibu kwanza kisha nirejee.

Tayari umesha sema Rais Magufuli alichukuwa madaraka yote na kuamulisha Bunge na Mahakama kufuata asemayo yeye na ume sight safari za nje kutolewa kibali Ikulu na mahakama na Bunge vikakaa kimya. Ni namna gani sasa mahakama hiyo hiyo inaweza kutafasili sheria kwa uhuru kama unavyo washauri CHADEMA wakati hata uhuru wake binafsi tu imeshindwa jitetea? Narudi kuendelea....
 
??????????????!!!!!!!!
 
Paskali umenishangaza unajua na umekiri wazi mahakama haipo huru na tunajua majaji wanateulewa na mwenyekiti wa ccm. Sasa chadema wakafungue kesi wapi? Mbinguni mm nawashauri chadema waandae maandamano nchi nzima
 
Paskali umenishangaza unajua na umekiri wazi mahakama haipo huru na tunajua majaji wanateulewa na mwenyekiti wa ccm. Sasa chadema wakafungue kesi wapi? Mbinguni mm nawashauri chadema waandae maandamano nchi nzima
 
Paskali umenishangaza unajua na umekiri wazi mahakama haipo huru na tunajua majaji wanateulewa na mwenyekiti wa ccm. Sasa chadema wakafungue kesi wapi? Mbinguni mm nawashauri chadema waandae maandamano nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…