Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #361
Pole kwa kukosa posho! . Hata hivyo nimeshauri mlipwe tuu kwa vile fungu lilishatengwa, ila sasa kesho mjiunge na JWTZ kufanya usafi!.Pasco acha hahari zako wengine tunahamu ya kuvunja watu wewe unaleta sanaa za kuwapa ushauri sisi tutapata wapi watu wa kupiga? Acha waje tufanye kazi yetu tupate posho za kazi ya kutukuka.
Pasco