Uchaguzi 2020 Ushauri kwa CHADEMA kuelekea Oktoba 2020

Porojo hizo shaykh tindo hebu tindua ukungu kwenye ubongo wako, lisu alikuwa ni mnufaika wa ujira kutoka kwa mabwana wakubwa hakuwa hata na chembe ya uzalendo
Hata Dr Slaa kabla ya kuja kundini mlikuwa mnamsema hivo hivo
 
LOoo, mkuu 'aloycious',

Unawakumbusha shuka wakati kumekucha tayari?

Wakati huu ndio wawaendee wananchi kwa kazi waliyotakiwa kuifanya kwa uendelevu miaka mitano iliyopita?.

Ninakubaliana na baadhi ya uliyowashauri, lakini hata wewe mwenyewe umechelewa kutoa ushauri waufanyie kazi kungali mapema.

Nadhani kuna sababu wasizotaka kuzieleza CHADEMA kuhusu sera zao, maanake ni nadra sana kusikia viongozi wakizungumzia mambo yanayosimamiwa na chama chao ili wananchi wayaelewe.

Haya mambo siyo ya kusubiri kuyaelezea wakati wa kampeni peke yake. Wakati wa kampeni ni kutoa ufafanuzi sehemu zinazohitaji kufafanuliwa, au zinazopindishwa na wapinzani wao.

Safari hii Magufuli katika miaka yake mitano hii amekwishawatengenezea ajenda nzito mno za kuwapelekea wananchi.

Wakishindwa kuzieleza kwa wananchi wajilaumu tu wao wenyewe kwa kukosa uwezo wa kuzijengea hoja.

Kwa mfano: Ni mwananchi gani asiyeweza kusimama na kusikiliza maelezo ya umhimu wa utawala bora kwa nchi yetu!

Ni mwananchi yupi asiyependa haki zake zilindwe, kama haki ya kupiga kura na kuchagua viongozi anaotaka yeye bila ya kuwa na shaka ya kura yake kuharibiwa au kutohesabiwa kabisa.

Ni mwananchi gani asiyetaka kupata na kutoa habari bila ya hofu ya kudhaniwa kuwa anavunja sheria.

Ni mwananchi gani asiyependa kuona wawakilishi wake bungeni wakifanya kazi kwa niaba yake bila ya kuingiliwa na/au kufichwa kinachotakiwa kuonekana kinafanyika wakati akifanya kazi hiyo.

Umoja wetu wa kitaifa na mshikamano wetu haujawahi kutetereka kama ulivyofikia wakati wa miaka hii mitano. Wewe unadhani wapinzani wakilieleza hili kwa wananchi, bado wananchi watakuwa hawaelewi kitu?

Ajenda kazitengeneza nyingi mno Magufuli, kiasi kwamba itawawia vigumu wapinzani wachague zipi za kuwaeleza wananchi katika muda mfupi wa kampeni.
Siasa mwamba ngoma.
Movie liendelee nafuatilia season kwa ukaribu.
 
Lord Marley aliwahi ku obseve kitu katika mazungumzo na kufikia nuka ya hitimisho kwamba, katika mazungumzo mazingatio yako hivi kwa hadhira;
1. Nani anayeongea?
2. Anaongeaje? (Namna anavyoumba sentensi zake)
3. Anaongea nini?

Unadhani ni rahisi kumsikiliza Lissu au Magufuli? Unadhani sentensi za nani zitakua zimefinyangwa vizuri? Na unadhani nani ataweza kuongea nini hata asikilizwe?

Tukutane August kwenye kampaini.
 
Ni kweli, hakuwa mzalendo maana uzalendo sasa hivi ni kujipendekeza kwa rais. Ndio maana sasa hivi ni ngumu kutenganisha uzalendo na ujinga.
Hamchelewi kutukana, kiasi huniwia vigumu kutenganisha wanachadema na matusi au utovu wa adabu
 
Nidhamu ni kujipendekeza kwa rais tu kwa sasa. Na matusi ni lugha za kweli zinazomkera rais!
 
Lord Marley aliwahi ku obseve kitu katika mazungumzo na kufikia nuka ya hitimisho kwamba, katika mazungumzo mazingatio yako hivi kwa hadhira;
1. Nani anayeongea?
2. Anaongeaje? (Namna anavyoumba sentensi zake)
3. Anaongea nini?

Unadhani ni rahisi kumsikiliza Lissu au Magufuli? Unadhani sentensi za nani zitakua zimefinyangwa vizuri? Na unadhani nani ataweza kuongea nini hata asikilizwe?

Tukutane August kwenye kampaini.
Mkuu
Jina lako ni jina la kujiji nimeishi mkuu.
Huko kwa wafipa. Fyengelezya
 
Lord Marley aliwahi ku obseve kitu katika mazungumzo na kufikia nuka ya hitimisho kwamba, katika mazungumzo mazingatio yako hivi kwa hadhira;
1. Nani anayeongea?
2. Anaongeaje? (Namna anavyoumba sentensi zake)
3. Anaongea nini?

Unadhani ni rahisi kumsikiliza Lissu au Magufuli? Unadhani sentensi za nani zitakua zimefinyangwa vizuri? Na unadhani nani ataweza kuongea nini hata asikilizwe?

Tukutane August kwenye kampaini.
Kama ni kusikiliza Lissu au Magufuli, usikilizaji wako usiufanye ndiyo 'standard' ya wasikilizaji wote wengine. Najua hili unalielewa vizuri, lakini nashanga huyo "Lord Marley" alisahau kukufundisha hili.

Hizo kampeni, kama kutakuwepo na mjadala kati ya wagombea, nitafurahi sana kuusikiliza mjadala huo.

Lakini sina hakika kama kweli kutakuwepo na mjadala kama huo, kwa sababu mmoja wa wahusika hatakubali kushiriki, kama wahusika ni hawa tunaowafikiria wewe na mimi.

Ninakuhakikishia, mmoja wao kati ya hao wawili hawezi kukubali kuwepo kwa mjadala kama huo
 
Hujui kitu mkuu, tumejipanga kuliko mnavyodhania na uzuri ni kuwa kwa dharau na kejeli zenu hamtakuwa na uwezo wa kujibu, kama ni kuchelewa ni nyie mlioamini kuwa kwa kutuzuia kufanya siasa kwa miaka mitano na kununua wale vibaka wachache mkajua Chadema imekufa.Kazi tuliyoifanya kimya kimya miaka hii mitano ndiyo ilipelekea CCM na dola kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Upo kwenye usingiz mzito sana boss
 
Where did you pick this statement from, I don't see it anywhere in my write

I am rather baffled by your turn to this sweeping generalization. Where did it come from? Is there any indication in my statement showing that what is narrated here is what I am writing about?

what makes you think i took it from your statement while am educating you
 
Kama ni kusikiliza Lissu au Magufuli, usikilizaji wako usiufanye ndiyo 'standard' ya wasikilizaji wote wengine. Najua hili unalielewa vizuri, lakini nashanga huyo "Lord Marley" alisahau kukufundisha hili.

Hizo kampeni, kama kutakuwepo na mjadala kati ya wagombea, nitafurahi sana kuusikiliza mjadala huo.

Lakini sina hakika kama kweli kutakuwepo na mjadala kama huo, kwa sababu mmoja wa wahusika hatakubali kushiriki, kama wahusika ni hawa tunaowafikiria wewe na mimi.

Ninakuhakikishia, mmoja wao kati ya hao wawili hawezi kukubali kuwepo kwa mjadala kama huo
Kama ni kusikiliza Lissu au Magufuli, usikilizaji wako usiufanye ndiyo 'standard' ya wasikilizaji wote wengine. Najua hili unalielewa vizuri, lakini nashanga huyo "Lord Marley" alisahau kukufundisha hili.

**************

Usikilizaji wangu lazima ndio uwe 'Standard' kwakua ndio utaopelekea kura yangu nimpe nani.
 
LOoo, mkuu 'aloycious',

Unawakumbusha shuka wakati kumekucha tayari?

Wakati huu ndio wawaendee wananchi kwa kazi waliyotakiwa kuifanya kwa uendelevu miaka mitano iliyopita?.

Ninakubaliana na baadhi ya uliyowashauri, lakini hata wewe mwenyewe umechelewa kutoa ushauri waufanyie kazi kungali mapema.

Nadhani kuna sababu wasizotaka kuzieleza CHADEMA kuhusu sera zao, maanake ni nadra sana kusikia viongozi wakizungumzia mambo yanayosimamiwa na chama chao ili wananchi wayaelewe.

Haya mambo siyo ya kusubiri kuyaelezea wakati wa kampeni peke yake. Wakati wa kampeni ni kutoa ufafanuzi sehemu zinazohitaji kufafanuliwa, au zinazopindishwa na wapinzani wao.

Safari hii Magufuli katika miaka yake mitano hii amekwishawatengenezea ajenda nzito mno za kuwapelekea wananchi.

Wakishindwa kuzieleza kwa wananchi wajilaumu tu wao wenyewe kwa kukosa uwezo wa kuzijengea hoja.

Kwa mfano: Ni mwananchi gani asiyeweza kusimama na kusikiliza maelezo ya umhimu wa utawala bora kwa nchi yetu!

Ni mwananchi yupi asiyependa haki zake zilindwe, kama haki ya kupiga kura na kuchagua viongozi anaotaka yeye bila ya kuwa na shaka ya kura yake kuharibiwa au kutohesabiwa kabisa.

Ni mwananchi gani asiyetaka kupata na kutoa habari bila ya hofu ya kudhaniwa kuwa anavunja sheria.

Ni mwananchi gani asiyependa kuona wawakilishi wake bungeni wakifanya kazi kwa niaba yake bila ya kuingiliwa na/au kufichwa kinachotakiwa kuonekana kinafanyika wakati akifanya kazi hiyo.

Umoja wetu wa kitaifa na mshikamano wetu haujawahi kutetereka kama ulivyofikia wakati wa miaka hii mitano. Wewe unadhani wapinzani wakilieleza hili kwa wananchi, bado wananchi watakuwa hawaelewi kitu?

Ajenda kazitengeneza nyingi mno Magufuli, kiasi kwamba itawawia vigumu wapinzani wachague zipi za kuwaeleza wananchi katika muda mfupi wa kampeni.
Kwa maoni yangu 'agenda' ulizopendekeza ni nzuri sana lakini si mtaji kwa siasa za Africa hasa Tanzania, si kipaumbele cha watanzania wengi wanaopiga kura.
Suala ambalo linaweza kuwa mtaji mkubwa kwa wapinzani ni suala la ajira, mfumo wa biashara ya mazao kama ufuta, korosho, pamba na pamoja na mfumo wa bidhaa za wanyama kama ngozi,n.k.

Suala la serikali kuhusu namna inavyo shughulika na sera ya viwanda kwa kulazimisha vitu haraka kisha kuleta shida ya mfumuko wa bei kwenye bidhaa kama sukari.

Namna serikali ilivyoingilia biashara ya mazao na uagizaji sukari toka nje ya nchi imesababisha shida kubwa sana kwenye masoko na bei ya hizo bidhaa.
Hapa masuala ya kibiashara yameshughulikiwa kisiasa kitu ambacho si sahihi na mara nyingi hakuna matokeo chanya.
Mfumo wa masoko, wa kibiashara sio kama kuhamia Dodoma ambako unaweza kubadili mambo kwa amri kwa haraka.

Biashara inahitaji utulivu, maafikiano, utayari wa pande zote sababu ni suala la kiushindani. Mahitaji (demands) ndiyo huamua utaratibu sahihi kwa muda husika. Ukitaka kubadili huo utaratibu basi lazima kuwe na mabadiliko ya taratibu ya hatua kwa hatua (a gradual change).
You can't just wake up one morning and issue a decree (order) which instructs how to conduct business in a new norm.
Your decree can work within your borders and not otherwise. Na ndiyo maana ili uweze kufanikiwa kusikilizwa, kuheshimiwa na kutimizwa baadhi ya matakwa yako na wafanyabiashara wa nje inabidi kuwe na mikataba ya kibiashara na wadau wa nje au na nchi zao.

Hizo hoja za uhuru wa utoaji habari, demokrasia na kurusha shughuli za bunge mubashara hazigusi sana hisia na maisha ya wapiga kura wengi wa huko mikoani hasa vijijini, au huku mijini kwa watu wazima ambao wengi ndiyo wapiga kura watiifu .
Unafikiri mwanakijiji na mzee wa mjini ambaye si mwandishi au mwanasiasa anaona umuhimu wa kusambaza habari mitandaoni au kwenye magazeti au redioni?

Tuachane na siasa za kukariri ajenda za nchi zilizo endelea, wao wamesha endelea hivyo hawashughuliki sana na shida tunazosumbuka nazo sisi nchi maskini. Tunashirikiana tatizo moja tu la ajira lakini hayo mengine kwetu siyo kipaumbele chetu watanzania ambao bado tunapigania uhakika wa matibabu , mavazi na chakula.
 
Wanabodi.
Nawashauri Chadema kwamba:

Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura.

Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya huruma "public sympathy" kama ambavyo sasa inaonekana bila ajenda zitakazotokana na mapungufu ya selikali ya sasa.

Ile dhana inayozidi kujengeka kwamba kura zitapatikana kwa kuwa "Mgombea" alipigwa risasi na alifanyiwa hila italeta siasa lakini haitaleta kura kwa kizazi cha sasa ambacho "unemployment rate" ni kubwa mno.
Andaeni na kuanza kuziuza ajenda zenu mbadala za nchi. Ajenda hizo ndizo zitazaa Ilani "manifesto".

Mtakumbuka aenda ya ufisadi ndiyo iliwapa umaarufu. Ufisadi na rushwa kubwa kubwa bado zipo,sijajua kwanini mliachana na hii ajenda. Jitahidi kuelekea kampeni kuja na programu ya kupata mawazo ya wananchi kupitia platforms mbalimbali nchi nzima ili mpate ajenda itakayo zaa ilani nzuri yenye kugusa makundi yote na iitwe ilani ya wananchi sio ya chama ili mgombea wenu aje aiuze kwa wananchi.

Chama chenye wanachama,madiwani na wabunge nchi nzima kinaweza kuandaa programu ya kupata mawazo ya wananchi,mawazo yakachambuliwa ikapatikana ilani nzuri yenye ajenda za kugusa maisha ya wananchi.

Hii ni kwa vyama vyote: vyama viondokane na ile "dhana" ya watu flani "wasomi" kuweka mawazo yao katika karatasi na kuyaita "ilani" au "manifesto" na kuja kuiuza kwa wananchi.

Ilani angalau itokane na mawazo ya wananchi hata kwa asilimia 80% ndipo mtapata uungwaji mkono. Fikiria ishu ya ukosefu wa ajira kwa sasa ni ishu kubwa sana kuliko inavyofikiriwa au kuchukuliwa na watawala.

Kuwaacha wagombea kuwa ajenda kutaleta siasa lakini hakuwezi kuleta kura na uungwaji mkono mkubwa. Itikadi,falsafa,ajenda na sera ndio moyo wa siasa za chama chochote.

Nawasilisha.
Wamekusikia
 
Ushauri wako mzuri sana ILA sijui kama kwa mazingira haya watakuwa na AJENDA YOYOTE kwani zote zimeisha shughulikiwa na Rais Magufuli! Kero zao zote, nasema kero zao zote na vihoja vyao vyote vimesha pewa majibu muafaka na sahihi. Hawana hoja mpya this time, we ngoja uone!
 
Wanabodi.
Nawashauri Chadema kwamba:

Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura.

Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya huruma "public sympathy" kama ambavyo sasa inaonekana bila ajenda zitakazotokana na mapungufu ya selikali ya sasa.

Ile dhana inayozidi kujengeka kwamba kura zitapatikana kwa kuwa "Mgombea" alipigwa risasi na alifanyiwa hila italeta siasa lakini haitaleta kura kwa kizazi cha sasa ambacho "unemployment rate" ni kubwa mno.
Andaeni na kuanza kuziuza ajenda zenu mbadala za nchi. Ajenda hizo ndizo zitazaa Ilani "manifesto".

Mtakumbuka aenda ya ufisadi ndiyo iliwapa umaarufu. Ufisadi na rushwa kubwa kubwa bado zipo,sijajua kwanini mliachana na hii ajenda. Jitahidi kuelekea kampeni kuja na programu ya kupata mawazo ya wananchi kupitia platforms mbalimbali nchi nzima ili mpate ajenda itakayo zaa ilani nzuri yenye kugusa makundi yote na iitwe ilani ya wananchi sio ya chama ili mgombea wenu aje aiuze kwa wananchi.

Chama chenye wanachama,madiwani na wabunge nchi nzima kinaweza kuandaa programu ya kupata mawazo ya wananchi,mawazo yakachambuliwa ikapatikana ilani nzuri yenye ajenda za kugusa maisha ya wananchi.

Hii ni kwa vyama vyote: vyama viondokane na ile "dhana" ya watu flani "wasomi" kuweka mawazo yao katika karatasi na kuyaita "ilani" au "manifesto" na kuja kuiuza kwa wananchi.

Ilani angalau itokane na mawazo ya wananchi hata kwa asilimia 80% ndipo mtapata uungwaji mkono. Fikiria ishu ya ukosefu wa ajira kwa sasa ni ishu kubwa sana kuliko inavyofikiriwa au kuchukuliwa na watawala.

Kuwaacha wagombea kuwa ajenda kutaleta siasa lakini hakuwezi kuleta kura na uungwaji mkono mkubwa. Itikadi,falsafa,ajenda na sera ndio moyo wa siasa za chama chochote.

Nawasilisha.
Chadema ina wanachama hai 6.7m plus mashabiki CCM chalii usubuhi tuu ✌🏻
 
wakienda na huu mtindo hata mbunge mmoja hawapati
 
Mkuu kwa uzoefu wangu nakifahamu CHADEMA ni chama makini sana na wanajua kucheza na hoja zinazogusa wananchi walio wengi! Hii ndio sababu ilifika mahala CCM ikawa inapora ajenda zao na kuzifanya kuwa zake! Hata sasa ukichunguza kwa makini utendaji wa serikali katika mambo mengi utaona ni kama wanatekeleza ilani ya CHADEMA ya mwaka 2015! Rejea suala la elimu bure, kupambana na ufisadi, rushwa , upigaji wa maliasili za misitu na madini , hizi zote ni ajenda za CHADEMA. Pia kama ulisikiliza hoja za Lissu wakati akihutubia taifa kupitia FB utagundua hakuongelea sana kuhusu shambulizi lake zaidi ya yote aliweka wazi kuwa hana mpango na visasi!
 
Wanabodi.
Nawashauri Chadema kwamba:

Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura.

Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya huruma "public sympathy" kama ambavyo sasa inaonekana bila ajenda zitakazotokana na mapungufu ya selikali ya sasa.

Ile dhana inayozidi kujengeka kwamba kura zitapatikana kwa kuwa "Mgombea" alipigwa risasi na alifanyiwa hila italeta siasa lakini haitaleta kura kwa kizazi cha sasa ambacho "unemployment rate" ni kubwa mno.
Andaeni na kuanza kuziuza ajenda zenu mbadala za nchi. Ajenda hizo ndizo zitazaa Ilani "manifesto".

Mtakumbuka aenda ya ufisadi ndiyo iliwapa umaarufu. Ufisadi na rushwa kubwa kubwa bado zipo,sijajua kwanini mliachana na hii ajenda. Jitahidi kuelekea kampeni kuja na programu ya kupata mawazo ya wananchi kupitia platforms mbalimbali nchi nzima ili mpate ajenda itakayo zaa ilani nzuri yenye kugusa makundi yote na iitwe ilani ya wananchi sio ya chama ili mgombea wenu aje aiuze kwa wananchi.

Chama chenye wanachama,madiwani na wabunge nchi nzima kinaweza kuandaa programu ya kupata mawazo ya wananchi,mawazo yakachambuliwa ikapatikana ilani nzuri yenye ajenda za kugusa maisha ya wananchi.

Hii ni kwa vyama vyote: vyama viondokane na ile "dhana" ya watu flani "wasomi" kuweka mawazo yao katika karatasi na kuyaita "ilani" au "manifesto" na kuja kuiuza kwa wananchi.

Ilani angalau itokane na mawazo ya wananchi hata kwa asilimia 80% ndipo mtapata uungwaji mkono. Fikiria ishu ya ukosefu wa ajira kwa sasa ni ishu kubwa sana kuliko inavyofikiriwa au kuchukuliwa na watawala.

Kuwaacha wagombea kuwa ajenda kutaleta siasa lakini hakuwezi kuleta kura na uungwaji mkono mkubwa. Itikadi,falsafa,ajenda na sera ndio moyo wa siasa za chama chochote.

Nawasilisha.
Labda nikukumbushe tu kuwa CDM kina sera mbadala, umefanikiwa kusoma? Ama unabwabwaja tu. CDM tayari imeshaandaa ilani ya uchaguzi, subiri itoke ndipo useme. Vyote hivi, vinahitaji wataalam wa kuelezea, sasa ndiyo tuna kuja kuchagua. Nani asiyejua kuwa Lissu ni mtaalam wa kujenga hoja? Labda niseme tu kuwa hata kama angekuwa hakipigwa risasi, Lissu angesimama dhidi ya Magufuli, na cha moto kiko pale pale mjipange.
 
Back
Top Bottom