Uchaguzi 2020 Ushauri kwa CHADEMA, kuna vitu tuachane navyo. Tujikite na kuwatumikia Wananchi, Uongo hauwezi kutusaidia

Shida ya CHADEMA ina viongozi, wagombea udiwani, ubunge na urais TOO MYOPIC! wao wanadhani NYOMI iliyopo uwanjani ndo ushindi!

Hawajiulizi kuwa katika wapiga kura 29 milioni ni wangapi au asilimia ngapi ina muda wa kuhudhuria public rallies?

Ngoja tarehe 28/10/2020 wapigwe kipigo cha mbwa mwizi kuanzi Mbowe hadi Tundu Lissu.
 
Tulieni Lumumba. ..sindano ishaingia tayari sasa ni muda wa kusukuma dawa!!
 
Mbona Lissu amelizungumzia hili kwenye mikutano yake na waandishi wa habari. Kama unalingine sema lakini siyo hili.
 
Kama nyomi sio muhimu mbona CCM mnahangaika kuleta wasanii,kuwabeba wananchi kwny malori,kulazimisha wafanyakazi wa serikali kuhudhuria mikutano yenu,kuzifunga shule wanafunzi wahudhurie mikutano yenu.
 
Comment bora ya Uzi ndio hii
 
Hujiamini ndio kosa kubwa unalolifanya. Kuigiza wewe ni CHADEMA wakati wewe no CCM ni mapungufu ya kiakili.
 
SHIDA N NN UNAUMIA NN UKWERI NIADUI WA WATU WAOVU
 
Kusini Rais wao ni Lissu. Meko anakataliwa kila kona.
Your browser is not able to display this video.
 
Binafsi nimeshuhudia madarasa yakifungwa ili watoto na walimu wao waende kwa Magufuli
 
Washauri CCM wenzio waache kuwahadaa watu kwa kupiga magoti na kuongea viingereza vibovu kujustfy Phd zao sio fake
Na bado sana, utaumia,
Cha kushangaza utakuta pamoja na dharau lakini wewe mwenyewe unalala na watoto kwenu.
 
Kama nyomi sio muhimu mbona CCM mnahangaika kuleta wasanii,kuwabena wananchi kwny malori,kulazimisha wafanyakazi wa serikali kuhudhuria mikutano yenu,kuzifunga shule wanafunzi wahudhurie mikutano yenu.
Mfano shule gani ilifungwa ili kuhudhuria mkutano wa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…