Uchaguzi 2020 Ushauri kwa CHADEMA, kuna vitu tuachane navyo. Tujikite na kuwatumikia Wananchi, Uongo hauwezi kutusaidia

Na bado sana, utaumia,
Cha kushangaza utakuta pamoja na dharau lakini wewe mwenyewe unalala na watoto kwenu.
Mkuu huwa silali na watoto ! unanionea bure huwa nalala na mama yako tupo busy tunakutafutia mdogo wako ili uache kudeka au wewe unaonaje mwanangu?
 
Kwa lissu uongo umo kwenye DNA. Na bahati mbaya siku zinaisha sidhani kama zinamtosha kujirekebisha
 
Hiko chama cha Mbowe kuna punguani wakutosha. Kuanzia mgombea mwenyewe mpaka washabiki zake huku mitandaoni. Chadema ni kachama kadogo mno, hakina ubavu wa kushindana na CCM milele.
 
Binafsi nimeshuhudia madarasa yakifungwa ili watoto na walimu wao waende kwa Magufuli
Haya ndiyo maneno yenu ya kujifariji lakini kipigo kiko palepale. 95% kwa JPM, mwaka huu lazima mzae bila kubeba mimba
 
Lissu anahangaika Sana.Chama cha Mbowe hakiwezi shinda Oct 28, kwa aina ya wapigaji walionao ni kama wamewekeza kwenye biashara yenye kuwapa hasara daily.Hakuna Rais, hakuna diwani hizo ruzuku ndio zimekwisha sasa.
 
Kama nyomi sio muhimu mbona CCM mnahangaika kuleta wasanii,kuwabeba wananchi kwny malori,kulazimisha wafanyakazi wa serikali kuhudhuria mikutano yenu,kuzifunga shule wanafunzi wahudhurie mikutano yenu.
Chadema tayari mchezo umekwisha Magu kawamaluza leo pale temeke.Kesho anaanza kusaka masalia yenu majimboni Dar.Mwaka huu mtabanana kwa Prof Janabi, hali itakuwa si hali.Mbeligiji aliwapa matumaini hewa.Sasa hivi tunamfuatilia alopoke tena ujinga wake,atakula ban tena.Tulieni mnyolewe.Chezea Magu
 
Hilo jamaa ni jinga sana na sijui hata hao chadema waliwaza nini kumpa nafasi ya kuwa mgombea urais wa nchi, eti mgombea uraia unatweet "Nyomi" sijui anataka kutupeleka wapi!!
Ni jambo la kawaida unapopanga kwa matumaini makubwa kufanya kitu lakini matokeo yakawa tofauti kabisa na matarajio yako. Unakuwa na kuchanganyikiwa fulani.
 
Haya ndiyo maneno yenu ya kujifariji lakini kipigo kiko palepale. 95% kwa JPM, mwaka huu lazima mzae bila kubeba mimba
Whether atashinda kwa 2000%, haiondoi ukweli kuwa vipindi vya watoto huvunjwa ili kufanikisha mikutano yake.
 
Hakika wala hujakosea.
 
Shule ya dizonga.
Mimi hata sishangai kuhusu kufunga shule maana vijijini wanaenda hadi kumlimia mwalimu mkuu itakuwa Raisi? Wakati nasoma sisi tulikuwa tunafanya usafi na kujipanga barabarani ukipita msafara wa Raisi hata kama hasimami tunapunga tu mikono ndo imeisha hiyo itakuwa awamu hii ya UNCLE wanasoma bure afu wasiende khaa..

Kwa taarifa hapo kwa miaka minne(1-4)Wanafunzi wengi wameshajiandikisha kwenye daftari sasa subiri 28OCT ndio utajua kuwa wale wanafunga shule kwa faida na ushindi wa kumzawadia Magu 5 tena ili wadogo zao nao wasome bure.
 
Whether atashinda kwa 2000%, haiondoi ukweli kuwa vipindi vya watoto huvunjwa ili kufanikisha mikutano yake.
Unaumiaje watoto wasiokuhusu kufunga shule na kwenda kwenye mikutano ya UNCLE ? Kwa maumivu hayo either unamtoto yupo shule ya serikali au ndugu yako hiyo inamaana UNCLE anakusomeshea bure hadi kidato cha nne ,hivyo mpe shukrani maana mnaumia sana mkiwaona wanafunzi .
Magu ndiye ajaye ..hatumtegemei mwingine.
 
Wanangu hawasomi shule za serekali, na hawatasoma huko Mungu akiendelea kunipa afya na uhai. Bado siafiki ratiba za masomo kivunjwa kwa ajili ya kampeni. Inaonwa na aliye staarabika.
 
Pamoja na mapungufu aliyonayo mh. Rais, sitothubutu kumpa kura yangu TL. Naishia hapo.
 
Tulia wewe every thing is well organized this time Lisu yuko sahihi
 
Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…