Mwenyewe umejitutumua kuandika kama vile unakitu cha kuandika kumbe tope tu!
Kwanini usimshauri mgombea wa CCM asiendelee na kampeni maana wananchi wanamwelewa akikaa kimya kuliko akiongea!
Fikiria ujumbe waliotokanao wananchi jana kwenye bonanza la Dai, Kiba na Kondeboy uwanja wa Mkapa kipaumbele chake ni wanawake weupe! Khaaa!