Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

uyo dogo mshamba sana, anaacha kufanya mziki anajiingiza kwenye mambo ya kishamba utadhan na yeye wa KOLOMIJE vile
 
Kila mtu nlikua fan wake saiv simtaki. Mumuache kijana wa watu ata tukiwa wawili tunaomsupport hamna shida. Siku zote mondi anakuaga na damu ya kunguni. Akifanya jema litapindishwa lionekane ovu. Akifanya ovu litarutubishwa lionekane ovu zaidi.

Wimbo hamjaelewa mnalalamika kweli lowasa angeshindaga tu uraisi. Vipaumbele vyake vingetusaidia sana
 

Ile ndomo ni takataka
 
Una chuki zako binafsi juu ya Diamond. Makonda nae amewakamata pabaya unaumia.

Acha kuchonganisha, RC hakuvamia bali aliingia.

Kaa ulie na wivu uliokujaaaaaaa

Kawashika au kajishika pabaya

Next time mwambie akumbuke kupiga mswaki
 
Sugu antivirus si ilimpa hadi ubunge,jay dee katusua hata bila clouds,fid q nae yupo wala hajachacha sana aisee mnaiabudu sana clouds acha iwanyonye wasanii itakavyo
Clouds watayumba wait there .
Nyie subiri, WaPo kwenye radar
 


Unafikiri Mondi katoa hiyo nyimbo kutengeneza hela? Kazuie na youtube basi waandikie google ili wasimpromote!
 
Huku kwetu watu wako bize na upuuzi wa vyeti na kushikiwa akili na mchungaji na mzamiaji mmoja huko mbele badala ya kujadili vya maendeleo ya kitaifa kama Kenya
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
daaah!! skujua kama umeguswa hivi!!

ila jamaa ni pompompo tuwe wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…