abd-rashid nkando
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 207
- 160
Waungwana naombeni sifa za kuwa mkuu wa mkoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti umesema!!ila kwa kweli Diamond hata mimi nime muona ni kubwa jinga
na nyimbo zake nimezifungia sisikilizo wiki hii yote
Inamuhusu nini? Kwani clouds si walikuwa wanajikomba wenyewe, kweli dai ni bonge la superstar akionekana kama yupo upande flani hivi watu wanapata vichaaaKw
Walichofanyiwa clouds FM yeye alifurahi
Hakuna utimu hapa...mm sijawahi kuwa mshabiki wa kibakuli....but huyu pimbi kajisahau..ngoja clouds wamnyoosheTimubkiba mmepata pa kuhemea, mond bado anakaza nati mpaka ikatike.
Sawa tutaonaDai siyo wa nchi hii sasa, nenda lagos, Lusaka, Luanda, new York, Capetown, ndo utamkuta huku anazuga tu.
Demokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.
Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi
A monkey can not steal from his masterKijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa
Rama dee
Mapacha
Sugu(na Antivirus yake)
Ruby
Ibra
Fid Q
MwanaFA
Lady jaydee
N.k
Waungwana naombeni sifa za kuwa mkuu wa mkoa
Una chuki zako binafsi juu ya Diamond. Makonda nae amewakamata pabaya unaumia.
Acha kuchonganisha, RC hakuvamia bali aliingia.
Kaa ulie na wivu uliokujaaaaaaa
Clouds watayumba wait there .Sugu antivirus si ilimpa hadi ubunge,jay dee katusua hata bila clouds,fid q nae yupo wala hajachacha sana aisee mnaiabudu sana clouds acha iwanyonye wasanii itakavyo
Ujinga wake nini sasa?ila kwa kweli Diamond hata mimi nime muona ni kubwa jinga
na nyimbo zake nimezifungia sisikilizo wiki hii yote
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
analeta ubashite yaan, kuanzia sasa simsikilizi kwa wiki 2, si entertine ujinga kabsaUjinga wake nini sasa?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kila mtu nlikua fan wake saiv simtaki. Mumuache kijana wa watu ata tukiwa wawili tunaomsupport hamna shida. Siku zote mondi anakuaga na damu ya kunguni. Akifanya jema litapindishwa lionekane ovu. Akifanya ovu litarutubishwa lionekane ovu zaidi.
Wimbo hamjaelewa mnalalamika kweli lowasa angeshindaga tu uraisi. Vipaumbele vyake vingetusaidia sana
Utausikia kesho wakati Baba Askofu Gwajima akiongea na familia ya Ufufuo na Uzima wakati Almasi itakapogeuka Maji.Ujinga wake nini sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji5][emoji3][emoji3][emoji3] nimezoea kuchambana insta. Mazoea bana
Wewe ata usipomsililiza hamna atakachopungukiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nikutumie playlist yangu ya saiv. Hlf acha kumfanansha mondi na vitu vya kijingaanaleta ubashite yaan, kuanzia sasa simsikilizi kwa wiki 2, si entertine ujinga kabsa