Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

uyo dogo mshamba sana, anaacha kufanya mziki anajiingiza kwenye mambo ya kishamba utadhan na yeye wa KOLOMIJE vile
 
Kila mtu nlikua fan wake saiv simtaki. Mumuache kijana wa watu ata tukiwa wawili tunaomsupport hamna shida. Siku zote mondi anakuaga na damu ya kunguni. Akifanya jema litapindishwa lionekane ovu. Akifanya ovu litarutubishwa lionekane ovu zaidi.

Wimbo hamjaelewa mnalalamika kweli lowasa angeshindaga tu uraisi. Vipaumbele vyake vingetusaidia sana
 
Demokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.

Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi

Ile ndomo ni takataka
 
Una chuki zako binafsi juu ya Diamond. Makonda nae amewakamata pabaya unaumia.

Acha kuchonganisha, RC hakuvamia bali aliingia.

Kaa ulie na wivu uliokujaaaaaaa

Kawashika au kajishika pabaya

Next time mwambie akumbuke kupiga mswaki
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.


Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.


Unafikiri Mondi katoa hiyo nyimbo kutengeneza hela? Kazuie na youtube basi waandikie google ili wasimpromote!
 
Huku kwetu watu wako bize na upuuzi wa vyeti na kushikiwa akili na mchungaji na mzamiaji mmoja huko mbele badala ya kujadili vya maendeleo ya kitaifa kama Kenya
 
Kila mtu nlikua fan wake saiv simtaki. Mumuache kijana wa watu ata tukiwa wawili tunaomsupport hamna shida. Siku zote mondi anakuaga na damu ya kunguni. Akifanya jema litapindishwa lionekane ovu. Akifanya ovu litarutubishwa lionekane ovu zaidi.

Wimbo hamjaelewa mnalalamika kweli lowasa angeshindaga tu uraisi. Vipaumbele vyake vingetusaidia sana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
daaah!! skujua kama umeguswa hivi!!

ila jamaa ni pompompo tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom