Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Mbona Mr. Nice alishuka?Pole sana
Mungu pekee ndiye anapanga yupi amshushe na yupi ampandishe
nyie na upuuzi wenu kamwe hamta msusha Diamond
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Huyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe

Kijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa
Rama dee
Mapacha
Sugu(na Antivirus yake)
Ruby
Ibra
Fid Q
MwanaFA
Lady jaydee
N.k
AiseeeNgoja wenye team zao waje,,[emoji16][emoji16]
Wananchi gani waliotukanwa wewe ? Ni ukweli wapo wasio Fanya kazi .. Wao no kujadili tu vyeti vyeti .. Alafu wanadai pesa hakuna hali ngumuHuyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Mkuu I guess all ur brain is full of mucus.Demokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.
Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi
Unaoneka umeumia sana team kiba bwana wanafki sana mbupu sana wwKuna njia za kutafuta siyo kwa kututukana siye. Pimbi kajisahau Huyo...eti wananchi tukae kimya kisa.... Hatufanyi Kazi tunaongelea vyeti. Pumbafu huyu
mkuu unaiabudu sana cloudsHakuna utimu hapa...mm sijawahi kuwa mshabiki wa kibakuli....but huyu pimbi kajisahau..ngoja clouds wamnyooshe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mkuu Lusinde upo?Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Achaneni na Diamond kila mtu ana haki ya kufanya anachoona kinafaa alimradi asivunje sheria za nchi. Tufanye suala clouds lilishapita tuangalie mbeleHuyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe
Whaaaat! U can't be serious binamu!!! Hata wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila kwa kweli Diamond hata mimi nime muona ni kubwa jinga
na nyimbo zake nimezifungia sisikilizi wiki hii yote