Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.

Anajua maana na thamani ya cheti?
 
wewe mjinga kamati ya Nape ilisema Makonda hakuhusika na ile habari ni shilawadu na wakampigia simu makonda

wewe kijana mbona haujawahi kuwalaumu au kuwaonya hao clouds waache huo mchezo??

hasira zako, chuki zako, gubu lako, laana zako hazimpati Diamond

acha afurahie uhuru wake huo unaousema
 
Kijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa

Rama dee

Mapacha

Sugu(na Antivirus yake)

Ruby

Ibra

Fid Q

MwanaFA

Lady jaydee

N.k

na mlifurahia hao walivyopotezwa na unataka diamond afanyiwe hivyo

ushakuwa mnafiki mpaka hapo
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Wananchi gani waliotukanwa wewe ? Ni ukweli wapo wasio Fanya kazi .. Wao no kujadili tu vyeti vyeti .. Alafu wanadai pesa hakuna hali ngumu
 
Demokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.

Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi
Mkuu I guess all ur brain is full of mucus.
 
Wimbo mzuri huu ngoja niuweke ringtone
 
Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mkuu Lusinde upo?
 
Huyo naye badala ya kuuonyesha usimba wake kaonyesha ufisi. Maajabu ya dunia Simba kageuka kuwa Fisi.
 
Huyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe
Achaneni na Diamond kila mtu ana haki ya kufanya anachoona kinafaa alimradi asivunje sheria za nchi. Tufanye suala clouds lilishapita tuangalie mbele
 
ila kwa kweli Diamond hata mimi nime muona ni kubwa jinga
na nyimbo zake nimezifungia sisikilizi wiki hii yote
Whaaaat! U can't be serious binamu!!! Hata wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom