Ushauri kwa Diamomd: Jitahidi uanzishe redio na Tv yako kabisa ili mzee huyo akikuchoka usipatwe na msongo wa mawazo

Kati ya Diamond na huyo MZEE nani anamuhitaji mwenzake? Diamond nae ana hisa kubwa sana kwa hiyo ni mmoja wa WAAMUZI wa mustakali wa hivyo vituo., sasa inatakiwa umshauri Diamond afungue kiwanda tena kinacho onekana sio hivyi vinavyosomwa tu kwenye makaratasi, viko elfu 4 sasa lakini ni kama havipo.
 
Ficha ujinga wakoc...ulisha ona wapi kampuni ina milikiwa na mtu mmoja....ata club za soka uoni kama watu wana share hisa sasa ulitaka wote wawe na hisa 100 kwa 100 .....alie wekeza zaidi ndo ana pata zaidicila kwa hisa za platnumz sioni tatzo apo ..iyo sio kidgo
Mwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamke
 
Kuna kitu kinaitwa “breaking even”. Kipindi biashara imerudisha mtaji uliotumia na ndo kipindi unaanza kutengeneza aidha hasara au faida. Nadhani Wasafi TV bado haija “break even” na maanisha bado pesa aliyowekeza Joseph Kusaga bado haijarudi. Ile 45% ya Diamond Platnumz ataanza kuimiliki mpaka pesa aliyoweka Joseph Kusaga irudi. Ndoo maana unaona Diamond anatumia uwezo wake kuhakikisha anaongeza traffic kwenye TV ili apate matangazo zaidi amlipe Kusaga pesa yake! Ahsante
 
Una uhakika zile party zinarushwa bure? Una uhakika katika hizo party unazozionaga hakuna matangazo yanayopita au party kukwata kwa 'commercial break'..??

Unahisi party inatokea tu jioni na kurushwa hewan muda huo huo.??

Kwann mnachangiaga mada ambazo hata A, B, C na mada husika hamjui.???

INAKERA MNO.
Sio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya Diamond na huyo MZEE nani anamuhitaji mwenzake? Diamond nae ana hisa kubwa sana kwa hiyo ni mmoja wa WAAMUZI wa mustakali wa hivyo vituo., sasa inatakiwa umshauri Diamond afungue kiwanda tena kinacho onekana sio hivyi vinavyosomwa tu kwenye makaratasi, viko elfu 4 sasa lakini ni kama havipo.
Kwani hana kiwanda cha karanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom