Ushauri kwa Diamomd: Jitahidi uanzishe redio na Tv yako kabisa ili mzee huyo akikuchoka usipatwe na msongo wa mawazo

Ushauri kwa Diamomd: Jitahidi uanzishe redio na Tv yako kabisa ili mzee huyo akikuchoka usipatwe na msongo wa mawazo

Kuna kitu kinaitwa “breaking even”. Kipindi biashara imerudisha mtaji uliotumia na ndo kipindi unaanza kutengeneza aidha hasara au faida. Nadhani Wasafi TV bado haija “break even” na maanisha bado pesa aliyowekeza Joseph Kusaga bado haijarudi. Ile 45% ya Diamond Platnumz ataanza kuimiliki mpaka pesa aliyoweka Joseph Kusaga irudi. Ndoo maana unaona Diamond anatumia uwezo wake kuhakikisha anaongeza traffic kwenye TV ili apate matangazo zaidi amlipe Kusaga pesa yake! Ahsante
Hawezi kukuelewa mkuu
 
This is Bongo.
Wangapi mmekuja kukoment hapa mkiwa.
1. Mnajua sheria ya uendeshaji makampuni ya biashara ya mwaka 2002.
2. Wangapi mnajua mgawanyo wa hisa, umiliki wa kampuni na madaraka ya wana hisa katika kampuni ya ushirikiano.

Jaribu to hata kupitia maana ya MOU na AOA na sheria ya uendeshaji makampuni hususani ya Ushirokiano (Pertnership) ndio uje ulete comment zako.

Yaani kuna coment humu ukisoma unaishia kucheka tu😄😄😄😄😄 vitu vinavyoendeshwa proffesonally mtu anakuja kutapika tu cjui kamsikia nani kaandikaa Insta, facebook n.k
Ndugu usipoteze muda, wabongo wao wanafuata hisia zao na wanachosikia kukomenti,huku kwenye sheria ni mbali sana...Wabongo wamezoea kuropoka kile wakisikiacho na kuhisi kama ulivyoona kasikika tu diva huku uzi tayari wa ushauri!!!ndio tunavyoenda ila comment kama yako inasaidia kutufungua hata kufuatilia kimyakimya hizo sharia kwa uelewa...Ahsante
 
Sasa hiv nafungua Uzi ili niwape elimu ya umiliki wa hisa ukoje standby
 
Back
Top Bottom