Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Anatumiwa kivp ?wakati yeye mmoja wa mmliki na mwenye mamlaka makubwa hapo WASAFI
Anamsaliti vipi wakati naye ana hisa. Wote si wanapata faida kwahiyo unataka Simba auze hisa zake
Mwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamkeMwenye controlling interest (hisa nyingi zaidi) ndo mwenye usemi wa mwisho! Kwahiyo Johayna Kusaga ana uwezo wa kufanya maamuzi ambayo Diamond hawezi kukataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona me ujanijibu point yangu?
Sio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamke
Sio kweli mbona Kama ni hivyo mbona anarusha live WASAFI TV hata party za marafiki zake bila hata hela mfano party ya aunt Ezekiel, Irene uwoya ukiachana na hivyo hata matangazo ya sponsor aliyoingia nao mkataba Kama voda n.k kwenye Tv yake hii inaonesha namna alivyo na mamlaka makubwa kuliko hata huyo mwanamke
SarawiliWewe mzee baba unamiliki kitu gani kikubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani hana kiwanda cha karanga?Kati ya Diamond na huyo MZEE nani anamuhitaji mwenzake? Diamond nae ana hisa kubwa sana kwa hiyo ni mmoja wa WAAMUZI wa mustakali wa hivyo vituo., sasa inatakiwa umshauri Diamond afungue kiwanda tena kinacho onekana sio hivyi vinavyosomwa tu kwenye makaratasi, viko elfu 4 sasa lakini ni kama havipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatumiwa kivp ?wakati yeye mmoja wa mmliki na mwenye mamlaka makubwa hapo WASAFI