Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Japo jukwa linaruhusu but you've got a point niggarYet again tupo hapa tunadiscuss mambo yasiyotuhusu....someone famously said "umbea na ushoga ni Kulwa na Dotto"
Sasa kama unataka waachane that means hakuna biashara yoyote ya kampuni duniani ingesimama. Mbona Samsung, CocaCola, Volkswagen,etc zote zinamilikiwa na watu kibao wenye hisa kiwango tofauti. Kwanza sheria ya kampuni kwa Tanzania sijui lakini najua nchi nyingi haziruhusu mtu mmoja kumiliki exactly 100% ya business entity. Una hofu ya bure
How did you get there.?I don't understand someone please make me understand whats going on
Pengine unaumia na uamini kuw Diamond ni mmiliki wa Wasafi Tv na radio.......lakini ukweli ni kwamba Diamond ni mmiliki wa hicho kituo kwa asilimia 45 usidanganywe na Diva ana hasira zake tuu hahahaha hata hapa ilishawekwa thread na taarifa ya TCRA Kuhusu umiliki wa radio hiyoKuwa Mjanja mdogo wangu,
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump
Kuwa makini Diamond
Kama ni hivyo why diamond awe na asilimia ndogo sana kuliko kina kusaga? Why asingekuwa na asilimia za juu ya hisa zake. Anasimama kama mdoli tu na sio mmiliki.Sasa kama unataka waachane that means hakuna biashara yoyote ya kampuni duniani ingesimama. Mbona Samsung, CocaCola, Volkswagen,etc zote zinamilikiwa na watu kibao wenye hisa kiwango tofauti. Kwanza sheria ya kampuni kwa Tanzania sijui lakini najua nchi nyingi haziruhusu mtu mmoja kumiliki exactly 100% ya business entity. Una hofu ya bure
Kwanini unataka Diamond awe na hisa zaidi na si Kusaga. Kuna chochote unaelewa katika masuala ya partnership kwenye biashara au unatumie ile " Diamond babalao, Chibu babalao" kwenye uhalisiaKama ni hivyo why diamond awe na asilimia ndogo sana kuliko kina kusaga? Why asingekuwa na asilimia za juu ya hisa zake. Anasimama kama mdoli tu na sio mmiliki.
Sheria IPI hiyo!? Kwa hiyo mfano Azam inamilikiwa na Bakhressa na nani mwingine!? Au IPP media Ni ya Mengi na nani mwingine? Nadhani tujifunze umiliki wa Public na Private.Yah uko sahihi, sheria za Tz haziruhusu kumiliki biz kubwa peke ako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hizo biashara ulizozitaja nyingi kama sio zote Ni public yaani unanewa kununua his aa zake kwenye masoko. Ni kama TBL kampuni ya bia. Kusema kuwa sheria hairuhusu umiliki was 10o% kwa kampuni binafsi hiyo si sawa.Sasa kama unataka waachane that means hakuna biashara yoyote ya kampuni duniani ingesimama. Mbona Samsung, CocaCola, Volkswagen,etc zote zinamilikiwa na watu kibao wenye hisa kiwango tofauti. Kwanza sheria ya kampuni kwa Tanzania sijui lakini najua nchi nyingi haziruhusu mtu mmoja kumiliki exactly 100% ya business entity. Una hofu ya bure
Yaani wabongo kama huyu domo aliwaroga aisee ukiongea ukweli,wao hawafikirii wanakuja wanabwabwaja tu
Ficha ujinga wako.Kuwa Mjanja mdogo wangu,
Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump
Kuwa makini Diamond
Basi hata mmiliki wa Facebook naye mdoli kwani ana miliki 25% sasa jiulize 75% anayo nani?Kama ni hivyo why diamond awe na asilimia ndogo sana kuliko kina kusaga? Why asingekuwa na asilimia za juu ya hisa zake. Anasimama kama mdoli tu na sio mmiliki.