Ushauri kwa Diamomd: Jitahidi uanzishe redio na Tv yako kabisa ili mzee huyo akikuchoka usipatwe na msongo wa mawazo

Hawezi kukuelewa mkuu
 
Ndugu usipoteze muda, wabongo wao wanafuata hisia zao na wanachosikia kukomenti,huku kwenye sheria ni mbali sana...Wabongo wamezoea kuropoka kile wakisikiacho na kuhisi kama ulivyoona kasikika tu diva huku uzi tayari wa ushauri!!!ndio tunavyoenda ila comment kama yako inasaidia kutufungua hata kufuatilia kimyakimya hizo sharia kwa uelewa...Ahsante
 
Sasa hiv nafungua Uzi ili niwape elimu ya umiliki wa hisa ukoje standby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…