Kweli kabsaShule nayo ni Muhimu sana, Wewe unadhani mtu kama Niki Wa pili aka Nikki Mbishi anaweza fanya ujinga huu!!! Wazazi wapeleke Watoto shule!!!
Msanii ni kioo cha jamii!!! Kuwa na uswahiba na mtu anayeshukiwa kuwa na tuhuma kibao unageuka kuwa Mchafuzi wa jamii!!!Msimchagulie Diamond marafiki ni haki yake kuwana marafiki anaowapenda vyeti vya makonda vinamahusiano gani na urafiki wao...ina maana Makonda awe na.maadui tuuu.achaneni na fikira za kitoto.
Umenikumbusha hadithi ya punda wa DobiDiamond ni Punda so anajua kabisa kitanuka muda si Mrefu na anajaribu kujificha Nyuma ya Mgongo wa Bashite
Akili za team bushmen na bavicha zinafananaHahaha
Aiwezekani, diamond anatembelewa na mawaziri kwake,iweje ashangae call ya rais!!
Watamfilisi mtoto wa watu.Hahaha
Aiwezekani, diamond anatembelewa na mawaziri kwake,iweje ashangae call ya rais!!
Ww pamoja na kuwa na elimu kubwa umekufaidisha nn au ndo kuchangia humu jfDomo uwezo wake wa kufikili mdogo kwanza elimu yake na bashite ni sawa wote wanaongoza kupata sifuri
Ndo akili zenu fupi zinavowatuma......mbona mnalalamika sasa kuhudhulia kwny sherehe ya makonda......mnajitekenya afu mnacheka wenyewediamond wa miaka ya 2015 kurudi nyuma sio huyu wa Leo, amepukutika,
Watanzania sijui tutapona lini, huku JF nako tunajiita GT lakini mambo tunayoshabikia hayaendani na sifa yenyewe.
GT kwa kipi hasa??.
Jaribu kuwa msomaji wa mada na maoni ya watu humu JF kwa wiki nzima bila kuchangia chochote, utapata majibu kwanini nasema hivi..
Ngoja na Mimi nimwambie shoga yangu mke wa Makonda aachane na Makonda. Anayeishi naye ni Bashite siyo Makonda. Paul Christian M. ni muhaya wakati yeye anabeba dushe la Msukuma Daudi Albert Bashite.Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.
Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.
Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.
Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.
Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.
Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..
Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Diamond kwa kweli pale ali kera kweli, hivi zile akili alizo zionesha kwenye kuizima bifu yake na Kiba zilimfanya aonekane ana maana, halafu akaja kuharibu kabisaaaa kwa kuonekana na Bashite.
Kwanza yeye ina muongezeaa nini aki kaa jirani na Bashite?, angekaa home ingempungua nini?, hajui kuwa RC alikuwa ana mtumia kwa aijili tu ya kutaka vijisifa vyake mwenyewe.
Namkubali sana Domo ila kwa Bashite kaonesha u pompompo wa hali ya juu.
HahahaaUsingemtaja huyo sijui.
Maana hii thread ni ya Mondi na BashiteHahahaa
Huyo hawezi kosa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Maana hii thread ni ya Mondi na Bashite
Hahahahaha huyo sijui kafika vipi humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] mwache Kiba.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nisinge ntaja huyo ni sawa na kuimba wimbo bila koras.