Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] mwache Kiba.
Hapa tumjadili Mondi kwanini alishiriki katika mwaka mmoja wa Makonda Bashite

Kumbuka kwenye kampeni pia alikuwepo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yaan bosi kile kitendo sijakiunga mkono
Sema Ali kaingia kuweka urari wa vina na mizani
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yaan bosi kile kitendo sijakiunga mkono
Sema Ali kaingia kuweka urari wa vina na mizani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]

Hawa ndio wasanii wetu. Je bado unaendelea kumshabikia?
 
Diamond kwa kweli pale ali kera kweli, hivi zile akili alizo zionesha kwenye kuizima bifu yake na Kiba zilimfanya aonekane ana maana, halafu akaja kuharibu kabisaaaa kwa kuonekana na Bashite.
Kwanza yeye ina muongezeaa nini aki kaa jirani na Bashite?, angekaa home ingempungua nini?, hajui kuwa RC alikuwa ana mtumia kwa aijili tu ya kutaka vijisifa vyake mwenyewe.
Namkubali sana Domo ila kwa Bashite kaonesha u pompompo wa hali ya juu.
Ww ulikua umepotelea wap
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]

Hawa ndio wasanii wetu. Je bado unaendelea kumshabikia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asee kuacha kumshabikia siwezi ila hiko kitendo nakikemea kabsaa.
 
Kama diamond uliitwa na kupewa mshiko wako nenda usiwasikilize hawa watu wameathirika una uchama na siasa za chuki.MZIKI WAKO UNASIKILIZWA NA UKAWA NA CCM MEMBER SO ACHANA NA SIASA ZA KURITHISHANA CHIKI FANYA KAZI YA SANAA KIPATO KIINGIE.
 
WCB wanadai makonda ni mlezi wao...


Wanamkimbia je sasa?
 
Hiyo ni akili yako finyu na chuki zako za kukumbatia wauza unga wewe huna uwezo wowote kumshusha au kumpandisha diamond huo ushauri kawapelekee viongozi wako waache biashara ya madawa ya kulevya
 
Hahaaa kweli mwana maana toka alhamis ya wiki iliyopita ulikua haupo.
Hahahaa
Yaan wewe joining date yako haiendani na unacho zungumza.
Ahsante lakin kwa ku note kuwa sikuwepo.
Yaan jina la Id yako natamani ningegundua mapema nikuibie.
 
Mbona wema alizunguka nchi nzima na ccm lakin kwenye sakata la madawa yumo.

Mnamuonea wivu makonda

D alizunguka nchi nzima kukata viuno kwenye kampeni CCM bila hivyo naye angekuwa mmojawapo wa kutangazwa hadharani na Bashite kwa kujihusisha na unga.

Ukaribu wake na Bashite haina maana kuwa Bashite ni msafi bali ni kwa ajili ya kujilinda ili Bashite asije akaweka mambo hadharani,wakati Bashite mwenyewe ana ogopa kufanya hivyo kwa kukumbuka fadhila za viuno vya D alivyokata nchi nzima kwenye kampeni za CCM.
 
Back
Top Bottom