MadnessNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Mali za Mungu hizo, jaribu kumshauri kwenye haya.Naam
MtihaniNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Hujui kuwa hizo mbuga zinalindwa na sheria za kimataifa, hapo ni sawa useme, Uganda wazuie mto nile ili maji yasiende Sudan na MisriNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Mkuu ipende nchi yako,kuwa mzalendo,nchi imeibiwa sana,ni wakati sasa tuikomboe na tumempata mtu sahihi mwenye niaAkili za Lumumba bana!!
Hiyo ndo inawafanya wawepo na kuishi mpka leo! Kasome ekolojia ndo utajua wakihama kuna faida gani dhidi ya wao na wanyama wengine!
Ndo maana mkuu anateua wapinzani anawaacha nyie!
Kwa akili hizi hufai hata kuwa Diwani
Maji ziwa victoria tumeweza pamoja na sheria zao,stiglers gorge tumeanzaHujui kuwa hizo mbuga zinalindwa na sheria za kimataifa, hapo ni sawa useme, Uganda wazuie mto nile ili maji yasiende Sudan na Misri
Unajua balance of nature vizuri, au unadhani wakenya ndo wanafanya wanyama wahame?Maji ziwa victoria tumeweza pamoja na sheria zao,stiglers gorge tumeanza
Muunge mkono Rais ndugu
Kwani kuna mahali ziwa Victoria au huo mto Rufiji tumezuia maji yasiende baharini?Maji ziwa victoria tumeweza pamoja na sheria zao,stiglers gorge tumeanza
Muunge mkono Rais ndugu
Hafai hata kuwa mlinzi wa choo cha sokoMkuu ipende nchi yako,kuwa mzalendo,nchi imeibiwa sana,ni wakati sasa tuikomboe na tumempata mtu sahihi mwenye nia