bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mkuu hiyo ID yako ungeedit kidogo hapo ukatoa hiyo "CH" then uweke "K" ingependeza sana.
Naomba kuwasilisha maoni.Asante.
Naomba kuwasilisha maoni.Asante.
Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!