Ushauri kwa JPM: Wanyama wa Serengeti wajengewe ukuta wasirudi Kenya

Ushauri kwa JPM: Wanyama wa Serengeti wajengewe ukuta wasirudi Kenya

Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu


Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara

Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia

Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena

Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha

Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm

KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Hii hali ngumu ya maisha imefanya idadi ya vichaa kuongezeka kila kukicha hivi watu wa ccm mmepigwa kimbola nini...????
 
Na vipi wakenya wakijenga, tena kipindi ambacho wanyama mapo kwao
 
Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu


Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara

Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia

Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena

Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha

Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm

KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Kidumuuuuu......, na hizo fikra zenu mbovu. Asiishie huko tu ajenge pia ukuta kwenye maziwa na bahari ili samaki wetu wasikimbilie nchi za jirani
 
Akili za Lumumba bana!!
Hiyo ndo inawafanya wawepo na kuishi mpka leo! Kasome ekolojia ndo utajua wakihama kuna faida gani dhidi ya wao na wanyama wengine!
Ndo maana mkuu anateua wapinzani anawaacha nyie!
Kwa akili hizi hufai hata kuwa Diwani
Kipindi wanyama huhama huwa Tanzania kuna kiangazi kikubwa sana na upande wa kenya huwa kuna bonde la mto mara kuna nyasi nyingi huenda huko kupata chakula ingawa kenya nao hutumia fursa hizo kuwaua pia kuongeza utalii na vinginevyo kwao kenya, njia sahihi si kujenga ukuta bali ni kutengeneza nyavu za kuwazuia mamba ambao huua idadi kubwa ya wanyama hususani ndama pindi wakiwa wanavuka mto mara kuelekea kenya na wakati wa kurejea Tanzania, na pia wawasihi kenya waache kuvuna wanyama kwa wingi pindi wakiingia kenya.
 
Hii hali ngumu ya maisha imefanya idadi ya vichaa kuongezeka kila kukicha hivi watu wa ccm mmepigwa kimbola nini...????
Wabunge wa CCM huko bungeni jana wameomba kujenga magereza badala ya viwanda, hospt na vyuo.
 
Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu


Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara

Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia

Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena

Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha

Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm

KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Kabisa huu ushauri makini wa KICHINEMBE CHINEMBE ... haswaaa unafaa, Jiwe chukua hatua za haraka

Tatizo hapangiwi ...
 
Kama hauna Cha kupost ni Bora ukae kimya, pitia tu nyuzi za watu wenye akiri kubwaaa
 
Kiangazi kikubwa huwapeleka kukimbilia kenya na pindi nyasi zikiisha kenya hukumbuka nyumbani na kurejea na kukuta nyasi zimeota za kutosha ndipo huishi mpaka kipindi kingine cha kiangazi.
Unaposema hukumbuka Nyumbani wa kiwa Kenya unamaanisha Nyumbani kwao ni Tanzania ... Sasa una uhakika gani Kama kwao ni Tanzania na sio Kenya ...

Na huenda ukute ni raia wa Kenya kwa kuzaliwa ... ila huku wanakuja Kama wahamiaji haramu ...

Nafkiri hapa KONKI MASTER Kangi anahusika kwenye hili la kuvuka mpaka kwa njia haramu ...
 
Back
Top Bottom