Wanyama hawana habari za mipaka, wao wanaenjoy zawadi ya maisha kwa namna watakavyoweza. Hizo complication za mipaka tunazo sisi tunaoamini tuna akili kuliko wanyama sababu ya uwezo wetu wa kugundua technologia. Ila ukichunguza tabia za binadamu na wanyama hazina tofauti kiviile, ni vile tu ss tunaangaika na technolojia na wao wapo tu wanakula, kujamiiana na kulala. Kama unabisha Jaribu kukaa juu kwenye gorfa katkat ya mji ambao upo busy uone binadamu wanavyopishana huyu kabeba hiki, huyu anamkwepa yule n.k halafu ukitoka hapo Tafuta kichuguu, au sehemu yenye siafu wengi waangalie wanavyopishana huyu kabeba hiki, huyu anakwepa hiki then angalia kama tofauti ni kubwa kihivyo.