bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Mkuu unapoteza madini yako kwa kumuelimisha huyu mfia chama!Mkuu pole sana kwa kutokuelewa jambo hili lipoje lakini naomba nikueleweshe kama ifuatavyo:
1. Kuhama kwa wale wanyama ni mfumo wao wa asili yaani huwa wanaenda kenya kupachikana mimba kipindi cha kupachikana mimba kikifika na muda ukifika huwa wanarudi Tanzania kujifungua, kwa hiyo wana msimu wao wanajua huu tunatakiwa tuwe ng'ambo ya mto kule kwa ajili ya hili na muda tena ukifika wanajua tunatakiwa turudi kule kwa ajili ya hili, ndio maana ule mtu hata ujae maji kiasi gani na mamba wawe wengi kiasi gani wale wanyama huwa hawajali.
2. Wewe unasema sababu yako kubwa eti tunakosa mapato kwasababu wanyama wanakuwa hawapo...sasa kwa taarifa yako umaarufuwa serengeti ni kutokana na hicho kitendo cha hao nyumbu kuhama kutoka tz kwenda ke na kutoka ke kwenda tz kwa wingi wao ule..hivyo basi hilo tukio la kuhama ndilo huingiza pesa nyingi serengeti kuliko tukio lolote lahao nyumbu, watu wa mataifa mbalimbali na vyombo vya habari vya kimataifa huweka kambi ili tukushuhudia tukio hilo adimu duniani.
Kwahiyo jua kwanza ni nature inawatuma wawe vile lakini pili hilo tendo la kuhama linatuingizia fedha za kigeni nyingi, hivyo usichukie kuhama kwa wale wanyama
Kenya waliwahi Fanya hivo kuweka seng'eng'e ili baada ya kuzaa walirudi Tz walichoambulia wanaexpirience,kuwazuia nyumbu ni sawa na kuizuia treni iliyospid kwa kutumia karatasNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Tukiweza tusisahau na mlima Kilimanjaro upande wa PILI wanaona bure hata ukiwa anganiMaji ziwa victoria tumeweza pamoja na sheria zao,stiglers gorge tumeanza
Muunge mkono Rais ndugu
Mkuu sasa ndio naanza kuona mzee lowassa alichokua amekiona alivyoamua kwamba vipaumbele vyake kwa taifa viwe 1.Elimu, 2.Elimu na 3.Elimu.Mkuu unapoteza madini yako kwa kumuelimisha huyu mfia chama!