Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Mimi naona hili ni tusi kwa JPM,yaani hapa unajaribu kuonesha kuwa Jiwe ana uwezo mdogo wa kufikiri na mkurupukaji na ndio maana unampa ushauri wa kijinga ukijua lolote laweza kutokea!!!Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Acha kufananisha binaadamu na siafuWanyama hawana habari za mipaka, wao wanaenjoy zawadi ya maisha kwa namna watakavyoweza. Hizo complication za mipaka tunazo sisi tunaoamini tuna akili kuliko wanyama sababu ya uwezo wetu wa kugundua technologia. Ila ukichunguza tabia za binadamu na wanyama hazina tofauti kiviile, ni vile tu ss tunaangaika na technolojia na wao wapo tu wanakula, kujamiiana na kulala. Kama unabisha Jaribu kukaa juu kwenye gorfa katkat ya mji ambao upo busy uone binadamu wanavyopishana huyu kabeba hiki, huyu anamkwepa yule n.k halafu ukitoka hapo Tafuta kichuguu, au sehemu yenye siafu wengi waangalie wanavyopishana huyu kabeba hiki, huyu anakwepa hiki then angalia kama tofauti ni kubwa kihivyo.
Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Wote ni viumbe wanaishi duniani' wote wanazaliana, wote wana njia za mawasiliano, wote wana pilika pilika za kila siku, wote wana system za uongozi kwenye Jamii zao(huwezi jua labda na wao wana mawaziri, wabunge na madiwani na wanapiga kura)embu nipe tofauti. usiingize dini,Acha kufananisha binaadamu na siafu
Siyo unaitika tu bali jibu swali hili! Unajua maana ya nature? Nani aliwahi kushindana nayo akashinda?Naam
Kwahiyo Kenya wanatumia remote control kuwahamisha! Wewe unafaa kuwa waziri wa maliasili kwa kujua kuwa walianzia Tanzania ila wakenya wanawaiba, habari ya kuku na yai.Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Na wakenya nao wajenge ukuta wasirudi Tanzania hapo tutakuwa sawa.Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
....You can't control Nature Unless you're Mad!Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Najua jiwe huwa anapitapita humu au watu wake,afanye kama mereraniUshauri mzuri sana, ila wale watunza wanyama pori na mazingira waweza kulipinga hili swala lako muhimu mpaka kututishia kutokutupa mikopo?! πππ‘
Ndorobo kabisa wale...Ila yote sababu manyang'au watumwa wao...ila subiri, Jiwe lazima zitamfikia hizi salaam...
Mkuu kipaumbele huwa ni kwa rasilimali isiyo na uwezo wa kutoroka na siyo kwa rasilimali yenye uwezo wa kutoroka.Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu