Kanjwinjwi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2017
- 272
- 362
Hii hali ngumu ya maisha imefanya idadi ya vichaa kuongezeka kila kukicha hivi watu wa ccm mmepigwa kimbola nini...????Natoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Kidumuuuuu......, na hizo fikra zenu mbovu. Asiishie huko tu ajenge pia ukuta kwenye maziwa na bahari ili samaki wetu wasikimbilie nchi za jiraniNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Kipindi wanyama huhama huwa Tanzania kuna kiangazi kikubwa sana na upande wa kenya huwa kuna bonde la mto mara kuna nyasi nyingi huenda huko kupata chakula ingawa kenya nao hutumia fursa hizo kuwaua pia kuongeza utalii na vinginevyo kwao kenya, njia sahihi si kujenga ukuta bali ni kutengeneza nyavu za kuwazuia mamba ambao huua idadi kubwa ya wanyama hususani ndama pindi wakiwa wanavuka mto mara kuelekea kenya na wakati wa kurejea Tanzania, na pia wawasihi kenya waache kuvuna wanyama kwa wingi pindi wakiingia kenya.Akili za Lumumba bana!!
Hiyo ndo inawafanya wawepo na kuishi mpka leo! Kasome ekolojia ndo utajua wakihama kuna faida gani dhidi ya wao na wanyama wengine!
Ndo maana mkuu anateua wapinzani anawaacha nyie!
Kwa akili hizi hufai hata kuwa Diwani
Kiangazi kikubwa huwapeleka kukimbilia kenya na pindi nyasi zikiisha kenya hukumbuka nyumbani na kurejea na kukuta nyasi zimeota za kutosha ndipo huishi mpaka kipindi kingine cha kiangazi.Nyumbu watakufa kwa njaa
Wabunge wa CCM huko bungeni jana wameomba kujenga magereza badala ya viwanda, hospt na vyuo.Hii hali ngumu ya maisha imefanya idadi ya vichaa kuongezeka kila kukicha hivi watu wa ccm mmepigwa kimbola nini...????
Kabisa huu ushauri makini wa KICHINEMBE CHINEMBE ... haswaaa unafaa, Jiwe chukua hatua za harakaNatoa ushauri huu nikiwa na uzalendo wa dhati kwa nchi yangu
Hawa wanyama katika mbuga ya serengeti hivuka kwenda kenya na kipindi hawapo Taifa hupata hasara
Hii hasara ni sawa na ile ya watorosha madini na makinikia
Sasa ushauri wangu,jenga ukuta katika mapito ya wanyama ili wasiweze kwenda kenya tena
Tanzania nibtaifa lenye nguvu ya kufyekelea mbali nchi yeyote hata kenya wakijifanya wanabisha bisha
Hii itaongeza watalii hivyo tutatimiza ilani yetu ya ccm
KIDUMU CHAM CHA MAPINDUZI!!!
Unaposema hukumbuka Nyumbani wa kiwa Kenya unamaanisha Nyumbani kwao ni Tanzania ... Sasa una uhakika gani Kama kwao ni Tanzania na sio Kenya ...Kiangazi kikubwa huwapeleka kukimbilia kenya na pindi nyasi zikiisha kenya hukumbuka nyumbani na kurejea na kukuta nyasi zimeota za kutosha ndipo huishi mpaka kipindi kingine cha kiangazi.