mbaya zaidi hawana menyu ya kurudisha puk yani line ikijifunga unaambiwa ingiza puk wakat kwenye menyu hiyo kitu hamna.mbona voda na tgo hata kama umetupa kile kikadi cha line ukiingia kwenye menu wanakurudishia no zako za puk unaenda huduma kwa wateja ukisearch unakuta omba puk alafu unaingiza no ya simu unayomba puk kisha unatuma hzo no then wanakutumia hizo puk.ila airtel hawana hyo proses,aise yamenikuta bwasheTukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?
Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!
Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]dawa ya den nikulipa mkuu,mtandano km Voda na tigo uwez ona mambo km hayo...Yani mkopo wa airtel wa maongezi ni aibu kwà familia ndugu jamaa na marafiki! Ila ukikopa kampuni nyingine kamwe hutasikia ile sauti ya kuaibisha mbele za watu na mbaya zaidi uwe umeweka loudspeaker !!!
Maishaa yakusumbufuee mkuu ,na airtel nao wakusumbue wkt mitandao ipo yakutoshaa tuu,au ilipo ipo airtel pekee.....mbaya zaidi hawana menyu ya kurudisha puk yani line ikijifunga unaambiwa ingiza puk wakat kwenye menyu hiyo kitu hamna.mbona voda na tgo hata kama umetupa kile kikadi cha line ukiingia kwenye menu wanakurudishia no zako za puk unaenda huduma kwa wateja ukisearch unakuta omba puk alafu unaingiza no ya simu unayomba puk kisha unatuma hzo no then wanakutumia hizo puk.ila airtel hawana hyo proses,aise yamenikuta bwashe
🤣🤣🤣 noma sana!Sio siri airtel ni shida hasa kwenye kumtangaza mteja anapokopa salio kwao.
Jambo jingine ni kiwango cha kukopesha salio ni kiwango kidogo mno View attachment 2424535
Airtel hicho kiwango mteja atafanyia nini? Punguzeni njaa
Wanakera sana. Mi sijanunua bandle ya internet Airtel siku nyingi nimehamia halotel lakini kila saa wananiletea ujumbe "bando lako la internet limekwisha......"!!!Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?
Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!
Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
[emoji23]Airtel inaaibisha sana wateja wake kukopa ni faragha tusitangazane.
Si kukutangaza tu hata kukupotezea muda kusikiliza wanavyokudai.Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?
Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!
Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!