Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?
Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!
Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!