Ushauri kwa kampuni ya Airtel

Ushauri kwa kampuni ya Airtel

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?

Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!

Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
 
Mmmhh Lilo nalo neno ni kweli hata mimi huwa wananiboa kinoma
 
Na TCRA wapo lakn hawafanyi kitu, sa'sjui wanasimamia nini..
kazi vitambi tu.............
 
Kwasasa hatutaji kampuni zenye busara katika kudai wateja ila mkiendelea kuleta masauti yenu ya kutudai tutahama na tutawadharau maana mnaaibisha wateja wenu nikiwemo mimi @Tapaiko na mkeho
 
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?

Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!

Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
mbaya zaidi hawana menyu ya kurudisha puk yani line ikijifunga unaambiwa ingiza puk wakat kwenye menyu hiyo kitu hamna.mbona voda na tgo hata kama umetupa kile kikadi cha line ukiingia kwenye menu wanakurudishia no zako za puk unaenda huduma kwa wateja ukisearch unakuta omba puk alafu unaingiza no ya simu unayomba puk kisha unatuma hzo no then wanakutumia hizo puk.ila airtel hawana hyo proses,aise yamenikuta bwashe
 
Sio siri airtel ni shida hasa kwenye kumtangaza mteja anapokopa salio kwao.
Jambo jingine ni kiwango cha kukopesha salio ni kiwango kidogo mno
IMG_0070.jpg

Airtel hicho kiwango mteja atafanyia nini? Punguzeni njaa
 
Eatel wanazingua upo zako kwa wakwe unambiwa bip sm y mama mke haionekani mara akaunt yko inadaiwa inakera sana sana
 
Yani mkopo wa airtel wa maongezi ni aibu kwà familia ndugu jamaa na marafiki! Ila ukikopa kampuni nyingine kamwe hutasikia ile sauti ya kuaibisha mbele za watu na mbaya zaidi uwe umeweka loudspeaker !!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]dawa ya den nikulipa mkuu,mtandano km Voda na tigo uwez ona mambo km hayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbaya zaidi hawana menyu ya kurudisha puk yani line ikijifunga unaambiwa ingiza puk wakat kwenye menyu hiyo kitu hamna.mbona voda na tgo hata kama umetupa kile kikadi cha line ukiingia kwenye menu wanakurudishia no zako za puk unaenda huduma kwa wateja ukisearch unakuta omba puk alafu unaingiza no ya simu unayomba puk kisha unatuma hzo no then wanakutumia hizo puk.ila airtel hawana hyo proses,aise yamenikuta bwashe
Maishaa yakusumbufuee mkuu ,na airtel nao wakusumbue wkt mitandao ipo yakutoshaa tuu,au ilipo ipo airtel pekee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Airtel inaaibisha sana wateja wake kukopa ni faragha tusitangazane.
 
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?

Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!

Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
Wanakera sana. Mi sijanunua bandle ya internet Airtel siku nyingi nimehamia halotel lakini kila saa wananiletea ujumbe "bando lako la internet limekwisha......"!!!
 
Tukiwakopa muda wa maongezi mnatutangaza inabidi ukapigie simu toilet kweli? Yani ofisa mzima nimevaa tai ya kiuongozi nyekundu na shati jeupe mara nikipiga naambiwa salio lako linadaiwa?

Hii sio sawa kwasababu no kama mnatuaibisha maana nikama mtu anakukopesha hela halafu kila akikuona anakutangazaaa yule mnaemuona namdai!

Airtel igeni makampuni mengine unakopa kimya unalipa kimya!
Si kukutangaza tu hata kukupotezea muda kusikiliza wanavyokudai.
 
Back
Top Bottom