Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu, PM anateuliwa na Rais, hapigiwi kura...
Ukomo upo kwa nafasi ya Rais...
 
ulitakiwa umwambie haya siku ile ile walipomchagulia naibu waziri mkuu. ina maana yeye alikuwa hatoshi au nini? sijajua hadi leo.
 
Angekaa kimya kama kazi haikuwa yake! Kujitokeza na kusema mtu yuko anafanya kazi ili hali alishakuwa maiti halikuwa Jambo la kiungwana .
Ila lilikuwa jambo la kiprotokali...
 
Kama unataka ubunge wajimbo la Majaliwa nenda kapambane huko usilete umakonde wenu hapa Jan vini 😳
 
ulitakiwa umwambie haya siku ile ile walipomchagulia naibu waziri mkuu. ina maana yeye alikuwa hatoshi au nini? sijajua hadi leo.
Sio lazima iwe wakati ambao wewe ungetamani !

Kila jambo na wakati wake!!
 
Kama unataka ubunge wa jimbo la Majaliwa nenda kapa mane huko isolate usilete umakonde wenu hapa Jan ink!😳
Wewe ni nani?? Mpaka unipangie Cha kupost??
Shame on you πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Unamharakisha Kassim Majaliwa Kwenda wapi?
... amekuambia anakosa nini?

πŸ˜… ... SIASA ZISIZO NA TIJA ZINABOA!
 
kuandika kwa kukuza herufi na kubold ni noises kwenye communication! Jifunze kuandika kwanza, then uje kujibu ukifaulu kuandika πŸ˜ƒπŸ€£
... THIS'S FOR EYELESS PROPAGANDISTS LIKE YOU!
πŸ˜…
NB: Dog bites man is no news, ... Man bites dog IS NEWS!
 
Hahaa, me pia nimefurahi.
nasikitika kizazi cha sasa hakiongei tena lugha yetu hii adhimu... inaelekea kupotea!!!
Ni kweli kabisa , mimi napokuwa home village, Napokuwa DSM, na popote napokutana na wamwera wenzangu nagonga hii lugha hatari,
 
... THIS'S FOR EYELESS PROPAGANDISTS LIKE YOU!
πŸ˜…
NB: Dog bites man is no news, ... Man bites dog IS NEWS!
Mimi sifanyi propaganda, nimendika facts tupu, na ni ushauri kwa mh mbunge na Waziri kwa nia njema.
Sifanyi, sijafanya, sikusudii kufanya propaganda mi nimenyooka!πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hata hivyo hastahiri tena hiyo nafasi ya u pm kwani kisheria tayari amemaliza vipindi viwili. Hivyo sheria inakataa yeye kiwa pm tena
 
Hata hivyo hastahiri tena hiyo nafasi ya u pm kwani kisheria tayari amemaliza vipindi viwili. Hivyo sheria inakataa yeye kiwa pm tena
Sheria ya vipindi viwili miaka 10 inamuhusu Rais πŸ€£πŸ˜ƒπŸ€”πŸ€”
 
Suali Waziri mkuu yupi aliye wahi kuwa makamo wa Raisi tangu wakati wa Nyerere?
 
Ishu ya ku balance dini sio ishu sana, cha msingi nafasi ipate mtu sahihi, actually majaliwa sio muslim kwa taarifa yako kama ulikua hujui, japokua ana jina la kiislam au alikuwa muislamu hapo awali. keep that in mind.
 
Hata hivyo hastahiri tena hiyo nafasi ya u pm kwani kisheria tayari amemaliza vipindi viwili. Hivyo sheria inakataa yeye kiwa pm tena
Sheria ya vipindi viwili inahusu Rais siyo nafasi ya waziri Mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…