Salaam,
Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.
Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la ajira nchini.
Hili likifanyika, tunapata faida zifuatazo;
1. Polisi hatatii Amri iliyo kinyume na Sheria kama sasa. Watafuata PGO.
2. Polisi hatomkamata mhalifu bila ushahidi kukamilika.
3. Polisi watakuwa na uelewa wa Sheria ambazo zimeandikwa kwa Kiingereza kwa haraka.
4. Polisi watakuwa humble na kuwa na ubinadamu sababu ya Elimu na uelewa.
Yaani kigezo Cha Failure wa kidato Cha nne kujiunga na polisi kiondolewe.
Hii ina tafsiri kuwa askari walio kazini wakajiendeleze kielimu au wafutwe kazi wakaendeshe bodaboda.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Nawasilisha 🙏