Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

Polisi hatakiwi kuwa na elimu kubwa maana atakuwa anauwezo wa kuhoji anapotumwa kutekeleza uovu.Siku zote msomi huwezi kuambiwa nenda ukamuue mdude Kwa sababu anakosoa serikali na akaua kweli.Lazima ahoji kwani ni vi kosa kuhoji na kumkosoa serikali?Naamini aliyeenda kumuua mdude ni form four failure.ukifanya utafiti wa wauaji utagundua hawana elimu
Sasa hili la kubadili mfumo huu ovu uko ndani ya UWEZO wetu Sisi bosss wa serikali.

Hili tulipigie kelele libadilishwe haraka.
 
Salaam,

Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.

Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la ajira nchini.

Hili likifanyika, tunapata faida zifuatazo;

1. Polisi hatatii Amri iliyo kinyume na Sheria kama sasa. Watafuata PGO.

2. Polisi hatomkamata mhalifu bila ushahidi kukamilika.

3. Polisi watakuwa na uelewa wa Sheria ambazo zimeandikwa kwa Kiingereza kwa haraka.

4. Polisi watakuwa humble na kuwa na ubinadamu sababu ya Elimu na uelewa.

Yaani kigezo Cha Failure wa kidato Cha nne kujiunga na polisi kiondolewe.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Ahahahh
 
Elimu na uelewa wa mambo ni kipimo tosha.

Ila kwanza, ni kufuta form four failure kujiunga na upolisi na majeshi sababu hivi sasa wasomi ni wengi.

Tuanzie hapo.
Nooo kila mtu ana receive elimu siku izi? But hujaelezea how utachuja na kupata cream

Nitakupa mfano hapa US. Kuna series ya vigezo, kielimu lazima awe na high school diploma, some state wanataka degrees kabisa. It depend na state.

Kuna mtihani wa utimamu wa mwili, PAT test (kuna private agency zinafanya hii). Lazima muhusika a score high pass marks ili awe accepted to police accademy

Background investigation, Muhusika atakaguliwa record zake za matukio ya nyuma. Akionekana kwenye criminal database anapigwa chini (hapa wako serious sana)

Medical and physcological evaluation, utimamu wa akili. (Hapa hupogwa kama wana historia ya matumizi ya madawa ya kulevya, utimamu wa akili).

Haya ni machache tu, lakini nchini mwetu mara nyingi wanakimbilia rasilimali watu bila kupima vigezo.

Wakichukua mtu wa diploma na degrees ( huyo haendi kuwa police wa mtaani, huyo ni mtaalam)
The rest ni kama headless chicken ambao wanajua kupokea command tu.
 
Kuanzia sasa tupige marufuku askari waliofail kidato Cha nne kuingia upolisi.

Hili litaondoa huu ujinga wa kutenda na kufuata Amri haramu za kuumiza wasio na hatia.
 
Nooo kila mtu ana receive elimu siku izi? But hujaelezea how utachuja na kupata cream

Nitakupa mfano hapa US. Kuna series ya vigezo, kielimu lazima awe na high school diploma, some state wanataka degrees kabisa. It depend na state.

Kuna mtihani wa utimamu wa mwili, PAT test (kuna private agency zinafanya hii). Lazima muhusika a score high pass marks ili awe accepted to police accademy

Background investigation, Muhusika atakaguliwa record zake za matukio ya nyuma. Akionekana kwenye criminal database anapigwa chini (hapa wako serious sana)

Medical and physcological evaluation, utimamu wa akili. (Hapa hupogwa kama wana historia ya matumizi ya madawa ya kulevya, utimamu wa akili).

Haya ni machache tu, lakini nchini mwetu mara nyingi wanakimbilia rasilimali watu bila kupima vigezo.

Wakichukua mtu wa diploma na degrees ( huyo haendi kuwa police wa mtaani, huyo ni mtaalam)
The rest ni kama headless chicken ambao wanajua kupokea command tu.
Hoja YANGU ndio hiyo.

Pamoja na vigezo vingine ulivyotaja kwa ufasaha,

Kigezo Cha form four failure kuingia upolisi kifutwe.

Hata wenye diploma waeza kunena bunduki na kuact kwa weledi.
 
Exactly lakinsas ili hilo litokee lazima kufanyike reform za kwenye PGO, hizi reforms zitasaidie kulibadili jeshi la polis kutoka hapa kilipo kuwa na efficient force

Askari kuwa na elimu ni jambo moja, lakin pia lazima kuwe na control of when and how wanatekeleza amri. Sasa hiv hamna control kabisa ndio maana wanatumika huku na kule
 
Daah unawapeleka watoto kwenye laana aisee..
Mfumo ndio mbaya wa laana,

Ila ukibadilishwa, itakuwa baraka,

Mbona Kila Mwanaume amezaliwa kuwa askari?

Hujui kutunza familia na kujilinda ni uaskari huo?
 
Salaam,

Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.

Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la ajira nchini.

Hili likifanyika, tunapata faida zifuatazo;

1. Polisi hatatii Amri iliyo kinyume na Sheria kama sasa. Watafuata PGO.

2. Polisi hatomkamata mhalifu bila ushahidi kukamilika.

3. Polisi watakuwa na uelewa wa Sheria ambazo zimeandikwa kwa Kiingereza kwa haraka.

4. Polisi watakuwa humble na kuwa na ubinadamu sababu ya Elimu na uelewa.

Yaani kigezo Cha Failure wa kidato Cha nne kujiunga na polisi kiondolewe.

Hii ina tafsiri kuwa askari walio kazini wakajiendeleze kielimu au wafutwe kazi wakaendeshe bodaboda.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Elimu ndogo ya askari polisi tulio nao ndio ustawi wa serikali ya CCM , tukiwa na askari wenye Elimu CCM na serikali ya CCM lazima itaanguka.
 
This makes sense , asante kwa mtazamo huu. Elimu inaondoa ushamba, ushamba ukiondoka kichwan watu wanaanza kuhoji and that is threat kwa gov
 
Back
Top Bottom