Kwame Nkuruma snr
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 204
- 464
Pedeshyee lisilobadili Nguo all the time yeye ni Bukta na shati lake lile la njugu njugu
Tafadhari prof.humtakii mema mwenzio kwa huyo mwanamkePost za hivi huwa inapendeza zikiletwa na verified user.
mkuu, bora da Mange amejitambua na kausomi kake.Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
WEWE NI SAWA NA MAKANDOKANDO SIKUSHANGAI NA USHAURI WAKO MAJI TAKA ,WEWE UNAHISI KUWA NA VYETI NI KUAJIRIWA TU?FAMILY ALIYONAYO NI AJIRA TOSHA TU TENA USITUPOTEZEE MUELEKEO KWENYE SUALA NYETI KAMA HILI LA VYETI FAKE...HAPA SIO KITUO CHA AFYA CHA KUTOA USHAURI NENDA KWENYE PAGE YAKE KATAPIKIE KULE NA UHAKIKISHE UMEDISPLAY YOUR REAL IDENTITYKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mleta uzi kajitathmini kwanza mambo ya instagram humu ya nini saa umejuaje kutwa yupo instagram ina maana ww ni fans wake umbeya punguzeni asee jadili maendeleo huta pungukiwa.
Ha ha ha ha haaaaa huyu jamaa wakuitwa warumi aliwahi kuitisha Press conference hapa Jf nakutaka watu wamuulize maswali ila akaweka Masharti yakwamba Kuhusu swala la JINSIA yake asiulizwe maana hatajibu.Post za hivi huwa inapendeza zikiletwa na verified user.
tehe tehe tehe baelezeeeeeeeNaona hii kadhia ya makonda inakutoa roho!
Umeanzisha thread za kutosha leo umeona haitoshi!
Umeamua uanze kuparamia wato wanaomuandama!
Mange lile jeshi la mtu mmoja!