Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Uthubutu wake,ukweli wake(hata kama mda mwingine unakuwa umbea)ndio tofauti kubwa kati yako na mange,ni heri kupata kina mange kumi katika tanzania yetu,kuliko kuwa na watu Mia au elfu,wanafiki na wanao penda kufukia uovu usijulikane,msema kweli ni mpenzi wa mungu...
 
Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
 
Warumi wewe si warumi tena Bali ni wavumbi wa kujikomba komba kama bashite, angalau Mange ametufumbua macho kujua kuwa Dar si salama tena kielimu,na usisahau Dar ndio Tanzania yenyewe sasa kama inaongozwa na wajinga wajinga hiyo ni hatari kuliko hatari ya Mange kuto kufanya kazi na kushinda insta
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
mkuu, bora da Mange amejitambua na kausomi kake.

ameonyesha yeye siyo mtu wa mchezo mchezo kama hawa maprofesa wetu wanaosinzia walioko kwenye bunge, cabinet na bodi - ambao pamoja na usomi wote wanaendeshwa kama gari bovu. hata babu yangu mzee Ruksa kawasema, lakini jii!
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
WEWE NI SAWA NA MAKANDOKANDO SIKUSHANGAI NA USHAURI WAKO MAJI TAKA ,WEWE UNAHISI KUWA NA VYETI NI KUAJIRIWA TU?FAMILY ALIYONAYO NI AJIRA TOSHA TU TENA USITUPOTEZEE MUELEKEO KWENYE SUALA NYETI KAMA HILI LA VYETI FAKE...HAPA SIO KITUO CHA AFYA CHA KUTOA USHAURI NENDA KWENYE PAGE YAKE KATAPIKIE KULE NA UHAKIKISHE UMEDISPLAY YOUR REAL IDENTITY
 
New member uwe unagonga hodi kwanza
Mleta uzi kajitathmini kwanza mambo ya instagram humu ya nini saa umejuaje kutwa yupo instagram ina maana ww ni fans wake umbeya punguzeni asee jadili maendeleo huta pungukiwa.
 
Naona hii kadhia ya makonda inakutoa roho!
Umeanzisha thread za kutosha leo umeona haitoshi!

Umeamua uanze kuparamia wato wanaomuandama!

Mange lile jeshi la mtu mmoja!
tehe tehe tehe baelezeeeeeee
 
Back
Top Bottom