Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Lakin kama anaishi na anatimiza majukum ya familiar yake kwake ni sawa tu...Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
Kama ni ukweli anaogopa nini sasa? Kama ni uchawi dhahiri yeye ndo atakiwa mwanga namba moja maana ni bingwa wa kuchukia wenye mafanikio. Mwambie afanye kazi child support ina ukomo mwache aendekeze roho mbaya tu.Aje Tanzania mumkamate? Kwani ye mjinga. Usimchukie mtu kwa sababu anasema ukweli hizo ni tabia za kichawi watanzania mkoje?
Anaogopwa makonda peke yake,chezeya central weye
Menopause inakusumbua
Umelala wapi mkuu??Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
We wawapi.kama hapa tu watu wanaongea wanapelekwa jela ye akija si ndo watamnyonga kabisa. Hajawahi kumchukia mtu bila sababu usimzushie Dada wa watu tabia yake ya kuwaumbua wanafiki hasa maccm inawauma sana ila si tunampenda anatusaidia.Kama ni ukweli anaogopa nini sasa? Kama ni uchawi dhahiri yeye ndo atakiwa mwanga namba moja maana ni bingwa wa kuchukia wenye mafanikio. Mwambie afanye kazi child support ina ukomo mwache aendekeze roho mbaya tu.
Kaachwa bila kijiko manina povu lazima limtokeKwa hiyo wewe unaona marekani ni mbinguni? Huko marekani hana kazi yoyote ni yaya tu. Kazi tumpe sisi au atafute. Ni bipolar hawezi akawa mtu wa kawaida ambaye kila mwenye mafanikio ni adui yake. Anajifanya anajua kila kitu kumbe hovyo tu.Kama yeye mwanamke kweli aje Tanzania.
mna furahisha sana mnavo mtetea bwana Daud A. Bashite ana walipa kiasi gani??Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mafanikio ya watu yanamfanya achanganyikiwe kutwa ana kazi ya kuandama waliomzidi. Na ni muongo namba moja. Rejea talaka yake ndo utajua ni muongo. Anapenda kuaminiwa asilimia Mia moja ikiwa ni muongo wa kiwango cha lami. Ndo maana yuko Kama skeleton[emoji23][emoji23][emoji23]Alijua kukaa marekani ndo kupatia maisha, kutwa wabongo wanamnyima usingiz
Hahahaha! Bora Mimi ndiyo maumbile yangu kuliko unayepumuliwa na mwanaume mwenzio mpaka unaficha jinsia yakoWewe yako condom manina, ntakupa mitusi mpaka u bleed maisha yako yote,paka mweusi wewe
Ohoooo!!!pitia hizi post zake hapo chini kuna kitu utabaini[emoji116]Ha ha ha ha haaaaa huyu jamaa wakuitwa warumi aliwahi kuitisha Press conference hapa Jf nakutaka watu wamuulize maswali ila akaweka Masharti yakwamba Kuhusu swala la JINSIA yake asiulizwe maana hatajibu.
Haihusu hajawahi kukuomba miaAbebe hata maboksi
We waste our time....declining our growth....hakuna anachopataTrue fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo