Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Usimlaumu mange kufungia vyeti vyake(halisi) kabatini maana hapa kwetu wasio na vyeti halisi ndo kama hao wanapewa majukumu wasiyoyaweza wakati wenye vyeti halisi wanazurura na bahasha za kaki
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mkuu hilo jina hata wewe wa kumuita jamaa yetu hivyo?????
 
Ingawa hua sipendi anayaofanya Kimambi ila we jamaa umezidi kumtetea Kondakta, hivi mnajuana naye?
 
Thread yako ni ya kinafiki sana.

Wanao andamwa na Mange kimambi sio Daudi pekee tu, Mange ameshawa wachafua wengi sana tena wengine hata hawana hatia ni kwa sababu ya chuki zake binafsi tu..

Lakini leo kuweka wazi uhalali wa elimu ya bwana Bashete umekuja kufungua thread kwa ajiri yake, je umewahi kumkemea kama hivi huko nyuma alivyokuwa ana wachafua wengine!?

BTW tunahitaji e-warriors wengine aina ya Mange Kimambi
 
Mbona unazidi kunichanganya? 2013 uliandika kuwa wanaume siku hizi nyie ni wambea sana hapa tena unasema wewe ni mama.
Aisee jamani nisaidieni au huku JF kuna majini 12[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo nimeandika tena Mimi mwanamke, sasa kazi kwako
 
Back
Top Bottom